DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wakina Logikos wanasema tunapenda na tuna utu sana bongo. Poor poor poor...
Nina mashaka na capacity yako ya kupembua mambo.., kwahio hao wanasiasa na viongozi wapuuzi na walamba asali kufanya mambo ya ndivyo sivyo ndio inaonyesha kwamba watanzania hatupendani na hatuna Undugu na Utaifa ?

Hizi divide and Rule wanazotumia wanasiasa watawagawa mpaka mtachukiana hata baba na mama let alone jirani na jirani..... Na sio Post moja bali nimekuwa nikionya again and again kwamba upuuzi huu wa walamba asali na wanasiasa unatupeleka ndipo sipo na kazi kubwa iliyofanywa na waasisi is going down the drain....

Hao walimu wametumia sheria namba ngapi kufanya maamuzi yao
Hakuna cha Sheria hapo ni kuoneshana umwamba tu..

Mwaga ugali Mimi na mwaga mboga.

Hapo wanataka mmoja ajishushe maisha yaende basi hili ni tatizo kubwa Sana hapa Nchini Kila mtu anamvizia mtu kwenye kitengo chake kuoneshana ubabe
 
Haijalishi hata angekuwa katokea wapi hivi vyeo ni vya kufuta vinamaliza kodi tu .

DC stooping low for such petty issues is uncalled for.
Ilikuwa mpaka saa hizi wameisha timuliwa ila ndio hivyo tena
Ujinga kama huu ndio wao wanapenda wayaone kwa wenzao
 
Hawa wapumbavu wa aina hii walitakiwa wasiwepo dunia hii ya leo kabisa! Huu ni ujinga na upunguani wa hali ya juu!
 
Tunapeleka taifa letu wapi?

Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..

Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...

Habari yenyewe ni hii👇

WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE

Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.

(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON

Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .

Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.

Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA

View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Hii nitafika mwenyewe shule husika , uyu Mwl mkuu wa shule hii anaishi kwenye jamii alafu anatekelaza ujinga wa namna hii.

Lazima eleweka sio lazima kuwa mtumishi wa umma ili kuishi ,mambo ya kijinga ya hivi kaa pembeni wachie kazi yao ,ila kuwa karibu na watu watakuzika kesho yako ikifika
 
Tunapeleka taifa letu wapi?

Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..

Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...

Habari yenyewe ni hii👇

WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE

Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.

(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON

Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .

Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.

Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA

View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU

Hivi hawa CCM wana kitu gani cha zaidi katika hii nchi zaidi ya kufaidi Keki ya taifa na familia zao huku wakituibia mali za umma?

Kuna Jamaa mmoja aliwahi kusema kuwa kwenye utawala wa kibabe wa CCM Ni bora watokee wanajeshi kama 2000 hivi wenye uzalendo mkubwa kwa Taifa hili walirejeshe hili Taifa kwenye dira ya Taifa lenye umoja na mshikamano .

Aliendelea kusema kuwa Hivi vyama ikiwemo CCM vipumzishwe kwanza ili wote wajitambua kuwa ni watanzania na hakuna mwenye hati miliki ya nchi huo. Na wajue kuwa utawala wao sio wa kijeshi na hawapaswi kutawala kijeshi kama wanavyofanya sasa. CCM ni chama cha siasa na kinapata Raisi na madaraka kutokana na kura za wananchi lakini cha ajabu hao raia wa CCM wanatawala nchi kijeshi jambo ambalo sio sawa kwani wanakiuka katiba na kutumia nguvu kubwa kuumiza watu kama vile wanasiasa wengine ni wahaini na waasi.

Itokee siku moja Jeshi lionyeshe uzalendo wake wa kuliokoa hilo taifa kutoka kwenye makucha ya mafisadi na wanasiasa raia wanaotumia mtutu wa bunduki majeshi kutawala .
Kuliko kutawaliwa na Raia kijeshi ni bora tutawaliwe na Jeshi kabisa kwa sababu wananchi wa kawaida zaidi ya 95 % wana imani na Jeshi letu .
Warakaokwazika ni majizi na wanasiasa amani hawafiki hata asilimia 1 ya umma wa watanzania.
 
Vibaya sana kosa la kuingiza watoto kwenye kukomesha kisiasa.

Kama wametenda hayo si wala washitaki hao wazazi au?
Mtume (SAW) alisema:
"Yeyote anayenyima haki wale walio wanyonge, Mwenyezi Mungu atamnyima rehema Yake Siku ya Kiyama."
(Abu Dawood, Hadithi ya 2858)

Hii inaonyesha umuhimu wa kutenda haki hasa kwa wanyonge na wasiojiweza.
 
Mkuu wa Wilaya na .Mkuu wa shule watapandishwa vyeo na wala msishangae.
 
Nashangaa sana huyu LijuaLikali bado hajatumbuliwa nafasi ya Ukuu huo Wa wilaya . Aibu hizi.
 
wAAYu9E.jpg
 
Kwani polisi na mahakama ni wanasiasa, uchawa unatosha kufanya lolote.
Gentleman,
ukileta ukaidi kwenye kutii sheria bila shuruti, au kuleta siasa zako za kichochezi, Polisi tanzania hawawezi kukuchelewesha hata sekunde moja kuleta fujo au vurugu miongoni mwa wananchi wastaarabu. Fanya siasa kisataarabu.

ukiletwa mahakamani,
hakuna huruma wala aibu utahukumiwa kulingana na makosa yako bila kujali kisingizio cha kutokujua sheria :BASED:
 
Back
Top Bottom