Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mmmanyokosengeremaa WAHUSIKKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mashaka na capacity yako ya kupembua mambo.., kwahio hao wanasiasa na viongozi wapuuzi na walamba asali kufanya mambo ya ndivyo sivyo ndio inaonyesha kwamba watanzania hatupendani na hatuna Undugu na Utaifa ?Wakina Logikos wanasema tunapenda na tuna utu sana bongo. Poor poor poor...
Hao walimu wametumia sheria namba ngapi kufanya maamuzi yaoMahakama Huwa haina maamuzi ya kuingilia maamuzi ya Shule .. watapoteza muda tu
Haijalishi hata angekuwa katokea wapi hivi vyeo ni vya kufuta vinamaliza kodi tu .Huyu DC mbona kama alikuwa CHADEMA?!
Hakuna cha Sheria hapo ni kuoneshana umwamba tu..Hao walimu wametumia sheria namba ngapi kufanya maamuzi yao
Naona wamefika huko zamani maana kuna hospital moja mpaka unaogopa kuitajaSoon watafika kwenye huduma za afya
Ova
Ilikuwa mpaka saa hizi wameisha timuliwa ila ndio hivyo tenaHaijalishi hata angekuwa katokea wapi hivi vyeo ni vya kufuta vinamaliza kodi tu .
DC stooping low for such petty issues is uncalled for.
Hii nitafika mwenyewe shule husika , uyu Mwl mkuu wa shule hii anaishi kwenye jamii alafu anatekelaza ujinga wa namna hii.Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Tunapeleka taifa letu wapi?

gentleman,Msimamizi wa uchaguzi atashindwa kuwajua wapigakura wake!
Soma barua zilizoambatanishwa.

Heading sio tattizo mkuu. Content iliyoko ndani ni kwamba awatafutie shule nyingine. Hapo ni kwamba wamefukuzwaHeading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Mtume (SAW) alisema:Vibaya sana kosa la kuingiza watoto kwenye kukomesha kisiasa.
Kama wametenda hayo si wala washitaki hao wazazi au?
Kwani polisi na mahakama ni wanasiasa, uchawa unatosha kufanya lolote.gentleman,
msimamizi wa uchaguzi ni mtendaji na sio mwanasiasa,
hana haja ya kujua na ni wa chama gani![]()
Bila kupata katiba mpya naona hata kikiingia chama kingine kitarithi madudu haya.Ilikuwa mpaka saa hizi wameisha timuliwa ila ndio hivyo tena
Ujinga kama huu ndio wao wanapenda wayaone kwa wenzao
Ni kweli kabisa hata hao wataboronga zaidi na visasi vitakuwepo sana Kama kawaida ya nchi za AfrikaBila kupata katiba mpya naona hata kikiingia chama kingine kitarithi madudu haya.
Gentleman,Kwani polisi na mahakama ni wanasiasa, uchawa unatosha kufanya lolote.