SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

Am sure its RAO gang acts....
 
Igwe amekufa
 
Wewe ni kama yule jamaa kwa Biblia aliyeenda kuomba akapata mwenzake anakiri zambi zake na yeye akaanza maombi ya kujisifu eti yeye sio mwenye dhambi kama mwenzake.
wewe tulia, watanzania wamestaarabika, haya mauaji ambayo yanatokea kwenu yangetokea Tz ingekuwa ni story kubwa sababu si mazoea yetu ila kwa Kenya roho kama 50 zikifa sababu ya uchaguzi kwenu ni mafanikio hayo, unaona tofauti ?
 
Sijui kwanini mnalazimisha kuihusisha na siasa kesii hii ilhali inaonekana wazi kuwa ilikua uhalifu wa kawaida... DPO hana kazi yoyote muhimu, kazi yake ni kuzunguka zunguka tu pale ndani ya chumba cha kupigia kura, kwahivyo hakuna sababu yeyote ya mtu ku target DPO, alafu pale ndani ya hicho chumba cha kupiga kura hua kuna PO, DPO na clerks wa sita, hakuna hata wakati mmoja ambapo wanatoka zaidi ya watu wawili ndani ya hicho chumba mpaka jioni baada ya kura zimeshahesabiwa na majibu kutumwa kwahivyo kama ni kumuua DPO kwasababu ya kuficha siri basi itabidi wauwe clerks wote pia manake hio siku ya kupiga kura hua hawaachani pale ndani....


Mnaingiza siasa nyingi kwa maafa haya lakini hamna kitu, huh ulikua uhalifu wa kawaida tu.. Ndio maana walimbaka huyo mwanadada na kuacha evidence (sperm) tele, kama ingekuaa n mauaji ya kisiasa yangefanywa na professionals ambao hawangeacha evidence yoyote
 
Hacha kusema hivyo tena. Uhuru ndio Baba wa Democracy Afrika. Halafu unasema nini.
Kenya wamekufa zaidi ya watu 50 sasa wasio na hatia...
Wameua watoto ...
Wameua waziri Mwandamizi ....
Wameua viongozi wa tume...
Na sasa wanaua hadi viongozi wadogo wa tume...
Hamia huko Kenya nyumbxxx wewe ili ufundishwe vizuri nn maana ya unyang'ua.
 
Maelezo yote haya hayaondoi harufu ya mauaji ya chuki za kisiasa kutokana na maamuzi aliyotoa wakati wa uchaguzi.
 
Caroline Adhiambo = Caroline Odinga*

Full name = Caroline Adhiambo Odinga*

* = not sure of the correct name spelling. could be Odiga
 
Maelezo yote haya hayaondoi harufu ya mauaji ya chuki za kisiasa kutokana na maamuzi aliyotoa wakati wa uchaguzi.
Hujui DPO ni nani ndo maana unaingiza siasa ndani... PO ndo anafanya maamuzi yote,kitu chochite kikikoseka PO ndo analaumiwa.. DPO hua hana kazi yoyote ya muhimu kabisa!!! Yani hata kuna vituo flani vya kupiga kura ambapo kura xilifanyika bila kuwepo kwa DPO...

DPO kazi yake kubwa ni mpiga kura akiingia pale ndani dpo anamkaribisha anamwambia utahudumiwa pale na clerk 1, alafu akiona mpiga kura ameshaangusha karatasi zake kwa box, anaita, " next" .. Kazi nyengine yake ni kuhakikisha wale officials wote wa iebc wamekula .... Hebu sasa niambie, nani atakia mjinga kiasi cha kumtarget dpo sababu ya siasa???
 
Hizi hapa kazi ya PO na DPO.....

Kazi muhimu za PO inaanza a) mpaka t) hivyo ni vitu ishirini tofauti ambavyo PO anafanya....


Alafu angalia kazi ya DPO a) mpaka d) pekee!, yani hana kazi yoyote mpaka anaandikiwa performs any other duty assigned by the PO....

Yani hata wale clercks wa chini wako na kazi za muhimu na ngumu kumshinda dpo...





Hata hiyo kazi ya dpo hapo c) ambapo anafaa kuregesha mabox ya kupiga kura kule headquarters, si ati ni kitu muhimu, yani kwa kifupi dpo amepewa kazi ya 'mbeba ma box' manake hawezi kurehesha yale mabox pekeyake, lazma aambatane na PO (ambaye ndo atatia sahihi kwamba ma box yalirejeshwa yote) na polisi anayelinda hayo mabox...

Watu wa muhimu pale ndani ya kituo cha kupiga kura ni PO na clerk 1, clerk 1 ndo anatumia ile KIEMS kit kukubalisha watu wapige kura, ile kit ndo inapiga mahesabu ni watu wangapi wamepiga kura, alafu baada ya kuhesabu kura clerk 1 anaweza kumsaidia PO kupiga picha ile form 32A ambayo ndo iko na matokeo kabla kuituma kwa server.... Hao clerks wengine pamoja na DPO ni kama secretaries tu
 
Huu sio utatuzi mzuri wa kutafuta haki, wanaouliwa wana shida gani mbona Kenya mnazidi kujionyesha kuwa bado siasa za huko zinawamaliza ninyi kwa ninyi?

sent from my Tecno W3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…