MGILEADI
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,621
- 1,545
Ndio tunavyoombwa na akina Lisu na Mbowe.
Zamani nilimkubali TL lakini kwa vitendo vyake vya hivi karibuni namwona vinginevyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunavyoombwa na akina Lisu na Mbowe.
WeweeDemokrasia ya Kenya ni ya kuigwa.
Haya sawa.Wewee
Embu uwe makini aseee
Wakenya wamepiga hatua kidemokrasia wako mbalo zaidi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Igwe amekufaSIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi wa IEBC katika Uchaguzi Mkuu, Caroline Odinga amekutwa akiwa ameuawa baada ya kubakwa.
- Mwili wake ulikutwa katika soko la Sega Jumamosi asubuhi na watu waliokuwa wakielekea katika mazishi ya Mkurugenzi wa TEHAMA wa IEBC, Chris Msando katika kijiji cha Lifunga.
Na tupiganie katiba mpya kama ya Kenya, tutapiga hatua kubwa sana kwa amani ya taifa letu in mazwazwa voice.Demokrasia ya Kenya ni ya kuigwa.
Na tuwaue maafisa wa tume ya uchaguzi, tutapiga hatua kubwa sana kama Kenya vile.Na tupiganie katiba mpya kama ya Kenya, tutapiga hatua kubwa sana kwa amani ya taifa letu in mazwazwa voice.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe tulia, watanzania wamestaarabika, haya mauaji ambayo yanatokea kwenu yangetokea Tz ingekuwa ni story kubwa sababu si mazoea yetu ila kwa Kenya roho kama 50 zikifa sababu ya uchaguzi kwenu ni mafanikio hayo, unaona tofauti ?Wewe ni kama yule jamaa kwa Biblia aliyeenda kuomba akapata mwenzake anakiri zambi zake na yeye akaanza maombi ya kujisifu eti yeye sio mwenye dhambi kama mwenzake.
Kenya wamekufa zaidi ya watu 50 sasa wasio na hatia...Hacha kusema hivyo tena. Uhuru ndio Baba wa Democracy Afrika. Halafu unasema nini.
Maelezo yote haya hayaondoi harufu ya mauaji ya chuki za kisiasa kutokana na maamuzi aliyotoa wakati wa uchaguzi.Sijui kwanini mnalazimisha kuihusisha na siasa kesii hii ilhali inaonekana wazi kuwa ilikua uhaligu wa kawaida... DPO hana kazi yoyote muhimu, kazi yake ni kuzunguka zunguka tu pale ndani ya chumba cha kupigia kura, kwahivyo hakuna sababu yeyote ya mtu ku yarget DPO, alafu pale ndani ya hicho chumba cha kupiga kura hua kuna PO, DPO na clerks wa sits, hakuna hata wakati mmoja ambapo wanatoka zaidi ya watu wawili ndani ya hicho chumba mpaka jioni naada ya kura zimeshahesabiwa na majibu kutumwa kwahivyo kama ni kumuua DPO lwasababu ya kuficha siri basi itabidi wauwe clerks wote pia manake hio siku ya kupiga kura hua hawaachani pale ndani....
Mnaingiza siasa nyingi kwa maafa haya lakini hamna kitu, huh ulikua uhalifu wa kawaida tu.. Ndio maana walimbaka huyo mwanadada na kuacha evidence (sperm) tele, kama ingekuaa n mauaji ya kisiasa yangefanywa na professionals ambao hawangeacha evidence yoyote
Caroline Adhiambo = Caroline Odinga*The body of a 39-year old secondary school teacher who served as a Deputy Presiding Officer in Ugenya Constituency in Siaya County during the August 8 polls was on Saturday mid morning found dumped along a footpath in Sirowa village, North Ugenya.
The body of the deceased, who has been identified as Caroline Adhiambo, was found along the footpath on Saturday, August 19 at around 11.00 am.
North Ugenya Chief, Joseph Ooko, said that that Ms. Adhiambo’s body was found with deep cuts and it is suspected that she was tortured before being murdered.
“Ms. Adhiambo is said to have left home yesterday (Friday) and has been found dead this morning, she was a teacher at Ugenya High School and served as a Deputy Presiding Officer at Miyare primary school in Ugenya,” Mr. Ooko said.
According to Mr. Ooko, the deceased informed her husband that she was going to pick some items in Ugenya High School before she met her death.
The body has since been removed to Sega Mission Hospital Mortuary ahead of a post mortem as investigations begin to establish the exact cause and motive of the death.
This comes a day after slain IEBC ICT Director, Chris Msando, was buried at his Lifunga Kobiero rural home in Ugenya, Siaya County.
Source: Citizen Tv
Hujui DPO ni nani ndo maana unaingiza siasa ndani... PO ndo anafanya maamuzi yote,kitu chochite kikikoseka PO ndo analaumiwa.. DPO hua hana kazi yoyote ya muhimu kabisa!!! Yani hata kuna vituo flani vya kupiga kura ambapo kura xilifanyika bila kuwepo kwa DPO...Maelezo yote haya hayaondoi harufu ya mauaji ya chuki za kisiasa kutokana na maamuzi aliyotoa wakati wa uchaguzi.
Mwangosi piaAre you sure? Yetu mbona ni kama zaidi ya kenya? Namkumbuka yule wa geita,yule dr na yule saa sita, namkumbuka shelembi wa shy
Sent using Jamii Forums mobile app