Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Tungoje Kimataifa Ingawa Kuna Ukweli Kwenye Hii CommentNikiongea kiuchambuzi bila upendeleo wowote technically yanga bado hawana timu
Yani wewe mbwa tena mbwa koko acha kuwa mnazi chupi lakoNikiongea kiuchambuzi bila upendeleo wowote technically yanga bado hawana timu
Au sioNikiongea kiuchambuzi bila upendeleo wowote technically yanga bado hawana timu
Mambumbumbu wawili mmekutana.Tungoje Kimataifa Ingawa Kuna Ukweli Kwenye Hii Comment
Nyie ndiyo mamluki mliobaki Simba. GSM kashaweka mfukoni wakala mwingine, smh!Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.
Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.
Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida zao.
Kama Azam kadhalilika namna hii basi tuungane kwa pamoja kuichangia yanga, hawawezekani, period.
Nimestuka ana nilipoisoma hii comment, maana hiyo profile nilidhani ni makaveli10Nikiongea kiuchambuzi bila upendeleo wowote technically yanga bado hawana timu
Tena magoli mengiRaha ya timu magoli kwanza, hongereni sana wanayanga