Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.

Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.

Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida zao. Kama Azam kadhalilika namna hii basi tuungane kwa pamoja kuichangia yanga, hawawezekani, period.

Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
 
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.

Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.

Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida zao.

Kama Azam kadhalilika namna hii basi tuungane kwa pamoja kuichangia yanga, hawawezekani, period.
Nyie ndiyo mamluki mliobaki Simba. GSM kashaweka mfukoni wakala mwingine, smh!
 
Back
Top Bottom