PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Upo sahihi kabisa mkuu.
🙏🙏🙏🙏
Sijasoma yote uliyo andika ila nimeishia juu tu nimegundua IQ yako ndogo kama ya kuku.....kuasi kwamba unashindwa kuona mbele vizuri ....
 
Mzee wa St Kayumba umeupiga mwingi sana. CHADEMA wanadanganywa na kina Robert Amsterdam ndo maana wanafanya mambo ya kijinga. Chama cha siasa bila kuongelewa kila siku lazima kife. Ban ya miaka mitano ni hatari mno. Kibaya zaidi wanachama wengi waandamizi watahamia vyama vingine ili kupata platform ya kufanyia siasa. Kimsingi LISSU kaivuruga sana CHADEMA ndani ya miezi miwili tu.
 
"Hatutasusia uchaguzi, ila tutauzuia uchaguzi usifanyike kwa nguvu ya umma. Tutawaalika Watanzania wahakikishe uchaguzi huu haufanyiki,
hatujarembaremba hapo” Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF).

Mada nzuri Mleta Uzi. Umechambua vyema.

Sijui ni mimi tu ndio naona hili lakini ukifuatilia Huu uangushaji wino wa Leo ulikuwa very tricky.

1. Mwenyekiti wa chama kaletewa zengwe.
2. Inafuatia vyama vinaitwa kuangusha wino.

Swali kama chama mtafanya nini? (Mtatumia Emotion au Mtakomaa kwenye Motto Wenu)

3. Wanajua kama mmesema hamtasusia inamaana mtaenda bampa to bampa mpaka mwisho na hii inaweza kuwa na madhara makubwa kwenye Uwanja wa uchaguzi na kuathiri wapiga kura hata kuathiri siku ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe.


They know, Motto ulikuwa hatutasuia ila tutazuia ( It was perfect and Scary) So tufanye nini then option ni mbili tuu.

First - Wazee wa kazi washiriki uchaguzi na kusimamisha wagombea Which is almost impossible

Second - Wazee wa kazi waondolewe kabisa ulingoni

Hivyo ngoja ifanyike namba 1 ili ikifanyika namba 2 kuna zaidi ya 80% Wataalam watatumia emotions hivyo watagoma kuangusha wino.

Sasa baada ya namba 2 kutiki automatically Ni kususia hivyo ni kutokuwa kabisa sehemu ya uchaguzi ambao ulitakiwa uzuiwe.

Maana utazuia vipi kitu ambacho wewe sio sehemu ya, maana yake itaonekana umeingilia uhuru wa wale wengine waliokubali kuwa sehemu ya hicho kitu (Hivyo tunajua nini kitatokea).

Tayari Mission accomplished. (Kuwaondoa kabisa kwenye mchakato mzima wa uchaguzi).
 
100% Fact
 
100% Fact. And this is what I am talking about.

Mshana Jr
 
Mshana Jr
 
Muda ndio utatoa jibu sahihi ila uhakika nilionao chadema suala la kufa gumu mno kwani ishajiwekea mizizi nchi nzima na inaungwa mkono na watu wengi sana. Kitu ambacho sikioni kwa act wala nccr.
 
Kama nimekuelewa hivi
 
Dogo Umekumbatia Ujinga.Kuna vyama hapo vinashiriki Uchaguzi kila mwaka….. na havina growth for the past 20 years ; hili nalo unalizungumzije?

Mwaka 2020, Chadema nzima ilifutwa bungeni, kwa dhulumati ya JPM , je ilikufa? Usiishi kwa mazoea the world has changed

On the other hand, you are right kuwa hapa kinachoangaliwa ni Ugali…, je tutaebdelea kuishi kwa ugali mpaka lini?

Dogo , you really choose hii life style ya CCM kuufanya uchaguzi kama prudence yao? Hizi ni akili ndogo sana!

Why hutaki kukaachini na kuhoji kuwa Kwanini CCM haitaki kukaa chini na kuona uwezekano wa reform ya katiba na sera za Uchaguzi?

Nilitegemea kuona mwisho unaishauri CCM waelewe kuwa nyakati zimebadilika na watu wanaelimika sana…. Huko mbeleni itakuwa ni ngumu kuongozA watu na sera hizi hizi za zidumu fikra za mwenyekiti……. Hivyo reform haitokimbilika….You would sound smart


Shida nyingine watanzania mpo kwenye Confomrt zone sana ..huwa mnatamani change but hamuwezi kutoka hapo mlipo

CCM ikuwekee mazingira ya wewe kushinda….. are you crazy or what ? That will never happen !

Dogo reform hata nchi nyingine haziji kwa kubembelezana…. Soma history za nchi zenye maendeleo na utawala wa heshima. Usione Kenya inafikia hatua mahakama inasimamisha uchaguzi ukadhani ni mambo ya kubembelezana…..
some people worked kuestablish hiyo chain of command and span of control. Rais hayupo above the law

So think as smart person: not as dumb
 
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Muda ndio utatoa jibu sahihi ila uhakika nilionao chadema suala la kufa gumu mno kwani ishajiwekea mizizi nchi nzima na inaungwa mkono na watu wengi sana. Kitu ambacho sikioni kwa act wala nccr.
Hata NCCR ilikuwaga hivyo hivyo
 
acha uboya we mbogamboga kwani mika yote si wanashiriki lakini wnakatwa kuna tofuti gani na kutoshiriki? wee mbwiga sna aisee sasa kama hata wabunge wanawafukuza nyie na tulia wenu mnalazimisha unaona washiriki tu kiboya mmeshikwa pabaya baada ya papeti lenu mbowe kushindwa vibaya
 
🙏🙏🙏
 
Wewe kenge ni kama ulikuwa una hoja ila ulivyoitaja Kenya ukaharibu kila kitu. Maisha ya wakenya ni ya wasiwasi na magumu mno pamoja na mabadiliko ya katiba yao. Nenda Mathare ukajionee maisha ya wananchi amabo nyie CHADEMA mnaisifia kipumbavu kuwa ina katiba bora.
 
Chadema imeisha kufa ,bado matanga tu watu waangalie ishu nyingine.
Wale G 55 baadhi watajiunga na CCM na wengine watajiunga na vyama vingine vya upinzani ili kukamilisha azma yao ya kugombea ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…