Sidhani kama kuna haja ya kumlaumu Rais Msataafu Jakaya kikwete Kuhusu ugombea Urais wa hayati Edward Lowassa na kupatikana Magufuli

Sindio maana yake, wakaruka "MKOJO" wakakanyaga "LI-UHARO", wengine wakajidai kupiga push up jukwaani kumdhihaki Lowasa....
 
Nje ya mada "kwa Hiyo hata kama Lowassa angekuwa Rais inamaana suala la kufiwa na Mr. President awamu ya 5 lilikuwa halikwepeki?"
 
Tunahitaji rais bora wala sio dini yake. Binafsi rais awe dini yoyote hata awe hana dini au haamini mungu. Mradi ni mwenye mwelekeo wa utu mwenye kupambania maendeleo na uhuru wa taifa, na ni mtu mwadilifu mpenda haki na usawa kwangu ni sawa kabisa. Nyie wenye kutaka urais zamu kwa dini ni watu hatari kwa mstakabali wa nchi yetu.
 
Kikwete alitumia kila gia kumpiga stop Lowassa asipate Urais, maana Kikwete alivyo mtu wa visasi alijua na yeye atakiona cha mtema kuni.
Lakini hapo hapo Lowassa alikuwa mtu wa tamaa iliyopitiliza kwa kujilimbikizia mali.
Hilo halipingiki.
 
JK kiumri ni mkubwa kwa ENL
 
Nje ya mada "kwa Hiyo hata kama Lowassa angekuwa Rais inamaana suala la kufiwa na Mr. President awamu ya 5 lilikuwa halikwepeki?"
Hata angepita BCM bwana yule wa sistimu, kachero mbobevu.
Basi tufanye maoni yangeenda kwa yule ex-Spika yule Mnyamwezi mwenzangu, Samuel 6, Low accer pia the same, basi tuashumu angeukwaa yule mzanzibari ndugu wa upande wa Mama naam yule Maalim Se-if.

Mkeka wa 2015/ 2020
Kwa vyovyote vile muda ulikuwa umetutupa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…