Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Hii nchi watu hawapeani kama kondomu za msaada Mtwa.Alipaswa kupitisha jina la lowasa bila kumuogopa membe
JK alikuwa sahihi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi watu hawapeani kama kondomu za msaada Mtwa.Alipaswa kupitisha jina la lowasa bila kumuogopa membe
SawaHii nchi watu hawapeani kama kondomu za msaada Mtwa.
JK alikuwa sahihi sana.
Pamoja na kwamba simpendi JK lakini kusema kwamba Lowasa ilikuwa lazima awe Rais siyo sahihi hata kidogo, nchi ina watu milioni 60 hivyo mtu yoyote mwenye sifa anaweza kuwa RaisHii nchi watu hawapeani kama kondomu za msaada Mtwa.
JK alikuwa sahihi sana.
😆😆😆Hii nchi watu hawapeani kama kondomu za msaada Mtwa.
JK alikuwa sahihi sana.
HakikaPamoja na kwamba simpendi JK lakini kusema kwamba Lowasa ilikuwa lazima awe Rais siyo sahihi hata kidogo, nchi ina watu milioni 60 hivyo mtu yoyote mwenye sifa anaweza kuwa Rais
Sindio maana yake, wakaruka "MKOJO" wakakanyaga "LI-UHARO", wengine wakajidai kupiga push up jukwaani kumdhihaki Lowasa....Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.
Lakini Inawezekana pia mfumo kuanzia Mwalimu Nyerere ulishamkataa ENL ,alichofanya JK ni kutekeleza tu.
Hivyo nadhani ni bora kuwa na Akiba ya Maneno kuliko kulaumu tu mzee wa watu.
View attachment 2907983
😆😆😆😆Kwamba urais unatolewa kishikaji.?
Pamoja comradeHakika
Tunahitaji rais bora wala sio dini yake. Binafsi rais awe dini yoyote hata awe hana dini au haamini mungu. Mradi ni mwenye mwelekeo wa utu mwenye kupambania maendeleo na uhuru wa taifa, na ni mtu mwadilifu mpenda haki na usawa kwangu ni sawa kabisa. Nyie wenye kutaka urais zamu kwa dini ni watu hatari kwa mstakabali wa nchi yetu.Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.
Lakini Inawezekana pia mfumo kuanzia Mwalimu Nyerere ulishamkataa ENL ,alichofanya JK ni kutekeleza tu.
Hivyo nadhani ni bora kuwa na Akiba ya Maneno kuliko kulaumu tu mzee wa watu.
View attachment 2907983
Ni fumbo la imaniNje ya mada "kwa Hiyo hata kama Lowassa angekuwa Rais inamaana suala la kufiwa na Mr. President awamu ya 5 lilikuwa halikwepeki?"
Kikwete alitumia kila gia kumpiga stop Lowassa asipate Urais, maana Kikwete alivyo mtu wa visasi alijua na yeye atakiona cha mtema kuni.Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi?
Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole?
Inawezekana kukawa mambo mengi nyuma ya Urais yaani zaidi ya kura za wajumbe.
Lakini Inawezekana pia mfumo kuanzia Mwalimu Nyerere ulishamkataa ENL ,alichofanya JK ni kutekeleza tu.
Hivyo nadhani ni bora kuwa na Akiba ya Maneno kuliko kulaumu tu mzee wa watu.
View attachment 2907983
JK kiumri ni mkubwa kwa ENLUndoubtedly lowassa ni mkubwa kiumri kwa Jk..picha inaongea yenyewe.
Siasa/maisha yana mambo mengi.
Mtu anayediriki kupiga dili na kupata hela za kula maisha yake yote na descendants wake wote hawezi kushindwa suala dogo kama la ku cheat umri.samahani kutoka nje ya mada
Hata angepita BCM bwana yule wa sistimu, kachero mbobevu.Nje ya mada "kwa Hiyo hata kama Lowassa angekuwa Rais inamaana suala la kufiwa na Mr. President awamu ya 5 lilikuwa halikwepeki?"
Now all are gone.Lowasa was a good guy but Magufuli was the perfect man for the job.
We will all be gone. That's a human destiny.Now all are gone.
Kwa vigezo vipi ?