Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Wekeni hizo picha Sasa tuonee yaliyomo yamo.Ni kweli...
Noma sanaπNimekumbuka wimbo wa best nasso_ MAISHA NI UTATA.
Ayaaaaa yayaaaaaaaaa eeeeee
Sina wa kumweleza shidaaaaa.......ni utatataaaaa
Hapo mwanzoooo nilikua na kibanda cha mchichaaaa.... Kilikua kigamboniii ila sio sana ila kilimudu kunilishaaaa ikapita bomoa bomoa eeeeeeee
Ukipata muda usikilizeeeee
Haaahaa kaka unataka kuanzisha MAJIMAJI WAR na kalpana πEbu tukuone, kama wao wametuzidi
Usikilizeeeee mkuu hiyo ngomaa kaka best nasso.Noma sanaπ
Tia neno kaka.Hatari sana
Mtoa mada apigwe ban. Picha ziko WAPI?Tia neno kaka.
Kaka Asante sanaaaaaa kumbe nilijua wewe upo sekta za kimaendeleo kumbe hata hii sekta upo vizuri ππUganda
Huyu hapa amejipumzisha..Haaahaa kaka unataka kuanzisha MAJIMAJI WAR na kalpana π
Hapo ndipo kakosea pakubwa ngoja nitoe SHINIKIZO ALAZIMISHWE KUWEKA PICHA KWA LAZIMA AMA MODS WAFUTE UZIIMtoa mada apigwe ban. Picha ziko WAPI?
Usikilizeeeee mkuu hiyo ngomaa kaka best nasso.
Nauza ka IST kangu kabisa kabisa yaani πππππHuyu hapa amejipumzisha..
View attachment 3447127
Hili lidude lipo vizuri πHuyu hapa amejipumzisha..
View attachment 3447127
Hii ngomaa kaka best nasso ameweka ujumbe murua humoooo
Mkuu hivi umesoma hata kichwa cha Uzi au umekurupuka mwendo wa kasongo na kupost!South africa umeiacha wapi??
UuumbwazDuh ! inasikitisha sana eti uzi tayari !
Unaweza kumuhonga kiasi gani?Hili lidude lipo vizuri π