secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nimelia sana baada ya kufungua huu uzi usio na manufaa kwangu.Duh ! inasikitisha sana eti uzi tayari !
Sasa nasaga meno.
Nimelia sana baada ya kufungua huu uzi usio na manufaa kwangu.Duh ! inasikitisha sana eti uzi tayari !
Analo la kuvunja chaga 😀 😀
secretarybirdAnalo la kuvunja chaga 😀 😀
😅😅😅😅🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂Ukicheza hivi litaonekana tu![]()
😊 Ngoja nijichunge nisije nikafirisika 😁😁😂😂😅😅😅😅🤣🤣🤣
Napambana hapa niuze shamba la ukoo nichukue hilo zigo
Kaka hata masaa hayajapita🤣🤣🍺🍺
Tu imoji kama twa tlaatlaah 😊😃😂😂😂😂😂😂😂
Ahahahaah sure mkuu..😊 Ngoja nijichunge nisije nikafirisika
wanataka wakuone ukinesanesa...😂😂😂😂😂😂😂
Ni mwendo wa tu Imoji tuTu imoji kama tea tlaatlaah 😊😃
Kabla hujauza shamba la ukoo hakikisha umesikiliza huu wimbo wa best nasso..Napambana hapa niuze shamba la ukoo nichukue hilo zigo
😆😆😆😆😆waje niwaneseeewanataka wakuone ukinesanesa...
Kwamba Kuna nini mkuu?Umefika Zambia?
Tuwekee sampoBotswana haina mpinzani
Ghana ni hatari mkuuBotswana haina mpinzani
Tuwekee sampo
mzee wa laifu iziii chenjee.... 😀Kabla hujauza shamba la ukoo hakikisha umesikiliza huu wimbo wa best nasso..
Wimbo wa best nasso_ MAISHA NI UTATA.
Ayaaaaa yayaaaaaaaaa eeeeee
Sina wa kumweleza shidaaaaa.......ni utatataaaaa
Hapo mwanzoooo nilikua na kibanda cha mchichaaaa.... Kilikua kigamboniii ila sio sana ila kilimudu kunilishaaaa ikapita bomoa bomoa eeeeeeee
😂😂😁😁😃