Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Umeitolea wapi?Huyu hapa amejipumzisha..
View attachment 3447127
Umeitolea wapi?Huyu hapa amejipumzisha..
View attachment 3447127
Niko naye hapaUmeitolea wapi?
Kule kuna mafurushi tuGhana ni hatari mkuu
Haaahaa 😊 😊 😃 😊 tena nikae mbali MITA 100 kama na Linda kuraaaaAhahahaah sure mkuu..
Sisi tuna magnet za kuvuta hela...
Kaa mbali
Ni kweli nimewai kwenda si kwa kusimuliwa gaborone Botswana nimeishi pale miezi kadhaa umenikumbusha hii mboga yao ""morogo wa dinawa""Botswana haina mpinzani
😁😃😁 Ujumbee 💯💯💯💯💯mzee wa laifu iziii chenjee.... 😀
Kaka kuacha ni kazi sana kaka nakwambia 💯💯 huwezi kuamini yaani ni ngumu kuacha pombe na nyeto muulize dronedrake anajua how's difficult kuacha punyetooKaka hata masaa hayajapita🤣🤣🍺🍺
Mimi sitaki kuacha ila nataka nifanye mapumziko mafupi ili nifanye meditation ,tatizo naona sikosi pesa ndio kinachonifanya nisiweze kuacha kulewa🤣🤣🤣( utani)Kaka kuacha ni kazi sana kaka nakwambia 💯💯 huwezi kuamini yaani ni ngumu kuacha pombe na nyeto muulize dronedrake anajua how's difficult kuacha punyetoo
Tupige vyombo kistaarabuu kaka maisha ni haya haya
😊😊😊😁😁
Kwahiyo unaona ni sawa kusimuliwa bila picha?Huu uchawi sasa
USSR
Mimi Kila siku jioni lazima nimalize isiyo pungua 10,000 kaka na ni Kila sikuMimi sitaki kuacha ila nataka nifanye mapumziko mafupi ili nifanye meditation ,tatizo naona sikosi pesa ndio kinachonifanya nisiweze kuacha kulewa🤣🤣🤣( utani)
10 ni kama haujafanya matumizi mabaya bwashee 🤔Mimi Kila siku jioni lazima nimalize isiyo pungua 10,000 kaka na ni Kila siku
Mpaka Jana ukashangaa kua SINAGA mapumzikoo
South africa sio afrika y kusini ndo niniMkuu hivi umesoma hata kichwa cha Uzi au umekurupuka mwendo wa kasongo na kupost!
Kwa hakika katika zile T3 basi bora T mbili za juu zikosekane lakini T ya chini yaani tako isikosekane.
Days 30*10000=300,000 ukitaka uamini ngoja waje wale wazee wa kufanya equivalency utaambiwa umetumia matofali 300 Kila mweziii waki times na siku 36510 ni kama haujafanya matumizi mabaya bwashee 🤔
Zile type matarial zote za mbeya chimbuko lake ni Zambia. Nakupa task ya kufatilia hili jambo kwa kina mkuu.Kwamba Kuna nini mkuu?
Mimi ulevi wa siku moja ni 100.00 usd na zaid😭Days 30*10000=300,000 ukitaka uamini ngoja waje wale wazee wa kufanya equivalency utaambiwa umetumia matofali 300 Kila mweziii waki times na siku 365
😁😊😂😂😂😂