Kwa hiyo wananuka sana siyo
πHatayi kweyi kweyi π
Mzigo
That's itMzigo
Tandam
Yutong
Inye ndembe ndembe
Hamsini hamsini...miaaa
Zigo la kuvunja chaga
Tarabuu
Nyash
Ndugu Stability muda sii mrefu ulipanda humu jukwaani na kilio juu,hivi sasa umehamia south,kilio cha mara ya pili ni chakujitakia shauri yako!
Amini ya kuwa mzeePole ndegeee Mimi na Monetary doctor nduguzoo tupo na wewe
ππAmini ya kuwa mzee
Hata wa KilimanjaroWadada wa Eswatini na Lesotho nao wanajambia mbali pia...
Iundwe tume kama ya jaji kisanga hii kauli Yako inaitaji TUME HURU ππ itu thibitishie..Hata wa Kilimanjaro