Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

BRO NIKUSHAURI KITU,
HUTU TUTOTO TWA MIAKA 28 SIJUI 35, ACHANA NAVYO.
TOKA NA MAMA ZAO, WAMEKOMAA KILA KITU, MWILI NA HISIA ZAO.
UTAPATA AMANI NA UTULIVU
 
Kuna rafiki yangu huwa anasema, "Siwezi kubembeleza mtu ili atumie hela zangu, mtu unampa matumizi pengine unamlipia mpaka kodi, kila anachovaa ni hela yako halafu atake kubembelezwa tena, shaabash".
 
Aaah hakuna mwanamke haeleweki. Mnakwama wapi vichwa vya familia bwana!!!!
Unatetea tu, lakini ukweli unaujua, huyu Mwanamke anayenunuliwa gari na Mpenzi wake alafu anagawa kwa mtu anayempa pesa ya mafuta! Huwa hamueleweki mnataka nini!
 
Unatetea tu, lakini ukweli unaujua, huyu Mwanamke anayenunuliwa gari na Mpenzi wake alafu anagawa kwa mtu anayempa pesa ya mafuta! Huwa hamueleweki mnataka nini!
Sasa hapo usichoelewa nini? Unampaje gari bila mafuta?
 
Back
Top Bottom