Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Kuna iyo ya kubadili mood ghafla na kujishaua kula izo tabia zinanikera sana. Mpo home story za hapa na pale unashangaa ghafla tu kanuna ukiuliza nini hajibu chochote, au mmetoka out anaagiza chakula au kinywaji halafu anagusa tu vichipsi viwili au anapiga kifundo kimoja cha soda ndo tayari kamaliza. Sasa hivi tukiaagiza kinywaji au chakula namwambia kabisa tangu mwanzo kama haujisikii kula au kunywa basi usiagize chochote hakuna atakaekulazimisha vinginevyo nakutimua hapa.
Duuh huyo kazidi kudeka mkuu
 
Shika hili popote utakapokuwa

Katika Maisha yako yote, usiishi kwa kuwa siriasi muda wote, mara nyingine kuwa flexible. Hii itafanya hata ustawi wa mwili wako kuwa mzuri
 
Leo asubuh niko usingizini mara nasikia napapaswa, nilipofungua macho nikapigwa busu, halaf nikaulizwa UNATAKA??? nikakohoa koh koh, fasta kaipandia akaikalia kwa juu.
NB
Wanatukera ila wanatupooza we kama huwez usitushauri na sisi
 
Sasa hapo usichoelewa nini? Unampaje gari bila mafuta?
Huo ni mfano, maana yangu unaweza kuta Mwanamke anapata huduma kubwa kwa Mume/Mpenzi wake na bado akamsaliti kwa Mchepuko ambaye anampa huduma ndogo tu.

Ninyi ni Watu ambao Mwanaume akichelewa kumaliza mechi mnalalamika kuwa mchelewaji na akiwahi mnalalamika pia kuwa anawahi..
 
Basi usiwahi wala kuchelewa.
 
Nenda taratibu, mpimie.
Sawa Kungwi, nitajitahidi, ingawa kuna wakati unampimia taratibu lakini akianza kulalama "stim"huwa zinakatika, ndipo uchelewaji hutokea hapo..
 
Tunaishi kwa akili na machalemachale: kusoma siku kuanzia asubuhi, kusoma mzunguko, kutokuwa na ratiba inayokaririka, kutokakaa kizembe home bila ya kazi za mikono - bora kuchukua muundo na kwenda kugonga libanda ili angalau dk ziende, n.k
 
Back
Top Bottom