ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Una akili nyingi sanaaaaaaApo sawa ,unachotaka ufanyiwe , unapaswa uki attract kwa kuwafanyia wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili nyingi sanaaaaaaApo sawa ,unachotaka ufanyiwe , unapaswa uki attract kwa kuwafanyia wengine.
Akili za leo tu haziwezi kuwa akili je kama nimebahatisha😁😁😁😁Una akili nyingi sanaaaaaa
Duuh huyo kazidi kudeka mkuuKuna iyo ya kubadili mood ghafla na kujishaua kula izo tabia zinanikera sana. Mpo home story za hapa na pale unashangaa ghafla tu kanuna ukiuliza nini hajibu chochote, au mmetoka out anaagiza chakula au kinywaji halafu anagusa tu vichipsi viwili au anapiga kifundo kimoja cha soda ndo tayari kamaliza. Sasa hivi tukiaagiza kinywaji au chakula namwambia kabisa tangu mwanzo kama haujisikii kula au kunywa basi usiagize chochote hakuna atakaekulazimisha vinginevyo nakutimua hapa.
Huo ni mfano, maana yangu unaweza kuta Mwanamke anapata huduma kubwa kwa Mume/Mpenzi wake na bado akamsaliti kwa Mchepuko ambaye anampa huduma ndogo tu.Sasa hapo usichoelewa nini? Unampaje gari bila mafuta?
Basi usiwahi wala kuchelewa.Huo ni mfano, maana yangu unaweza kuta Mwanamke anapata huduma kubwa kwa Mume/Mpenzi wake na bado akamsaliti kwa Mchepuko ambaye anampa huduma ndogo tu.
Ninyi ni Watu ambao Mwanaume akichelewa kumaliza mechi mnalalamika kuwa mchelewaji na akiwahi mnalalamika pia kuwa anawahi..
Changamoto hiyo, sijui hicho kipimo cha kutowahi na kutochelewa ni muda gani! maana kuna siku unachelewa, lawama zinakuwa nyingi, siku nyingine unaona ngoja nijitahidi kuwahi, lawama pia.Basi usiwahi wala kuchelewa.
Nenda taratibu, mpimie.Changamoto hiyo, sijui hicho kipimo cha kutowahi na kutochelewa ni muda gani! maana kuna siku unachelewa, lawama zinakuwa nyingi, siku nyingine unaona ngoja nijitahidi kuwahi, lawama pia.
Sawa Kungwi, nitajitahidi, ingawa kuna wakati unampimia taratibu lakini akianza kulalama "stim"huwa zinakatika, ndipo uchelewaji hutokea hapo..Nenda taratibu, mpimie.
Hayo ni mapenzi ya la saba.Mwanaume asiyejua kubembeleza❌