Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Hii taarifa ya uongo ipuuzwe.
SIDO na ndege wapi na wap, huyu ni mtu tu ameshiba maharage anakuja kuandika upuuzi.
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.

Ni nini kirefu cha sisi ? I hope siyo hii ya Tanzania??????!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…