Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
- Thread starter
- #21
Mimi nimesoma geologyAchana na mademu komaa na kujifunza uandishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimesoma geologyAchana na mademu komaa na kujifunza uandishi.
Potential ndio nini? Pesa ninazo za kawaida na mademu wenyewe uwa natafuta wale sio expensive na anakaa kwa wazazi waoWanawake wanapenda wanaume potential
Kama sio potential hawawezi kukutafuta
Tafuta pesa
Njoo mrembo nikuvushe getoniTafuta bwana uolewe tutakyombea udumu
Potential ndio nini? Pesa ninazo za kawaida na mademu wenyewe uwa natafuta wale sio expensive na anakaa kwa wazazi wao
Asante kwa ushauri, niambie nitafute demu maeneo gani? Maana hawa nimewapatia barabarani, libraryWewe huna kosa lolote, ni kwamba umekutana na wachangamkia fursa. Umekutana na wanawake wenye akili za kitoto.
Sasa mbona Kuna washkaji wanamaisha normal sana na bado wanawake wanadumu nao?Wanawake hawapendi vitu vya kawaida.
Ikiwemo pesa za kawaida.
Siongei sana ila Leo nimekumbukia mwaka jana kama leo nilikua na demu wangu magetoni, natamani nisemeshe ila moyo unasitaTumbili wa mjini unaongea saaaana. Jirekebishe mkuu hii ndo inawezekana mchawi wako
Sasa mbona Kuna washkaji wanamaisha normal sana na bado wanawake wanadumu nao?
Haijalishi demu utampata wapi, wewe kama mwanaume lazima ujue unataka mwanamke wa aina gani?, ukishalijua hili upe muda nafasi, jicho lako litaona tu unachokitafuta.Asante kwa ushauri, niambie nitafute demu maeneo gani? Maana hawa nimewapatia barabarani, library
Siongei sana ila Leo nimekumbukia mwaka jana kama leo nilikua na demu wangu magetoni, natamani nisemeshe ila moyo unasita
Show au?Wana vitu visivyo vya kawaida ambacho hao wadada wanavihitaji
Niliacha ila tangu ni breakup nimeanza tena kunywaKama hivyo uwe unapiga nyagi kidogo ili mambo yaende
Hela ninazo kiasi na najitahidi nitumie na mpenzi wanguTatizo lako wewe Tumbili wa mjini a.k.a litumbili hauna Hela fullstop
Nisaidie jinsi ya kutoa gunduGundu
Akilini mwangu Nimewaza nitafute demu hata mkubwa alienizidi kidogo anaonekana hana mambo mengi au nitafute demu bikra kwakua heshima zote atanipaHaijalishi demu utampata wapi, wewe kama mwanaume lazima ujue unataka mwanamke wa aina gani?, ukishalijua hili upe muda nafasi, jicho lako litaona tu unachokitafuta.
Unang'ang'ana na mahusiano mkuu umejijenga? Mana mengine haya ya kupita tuNiliacha ila tangu ni breakup nimeanza tena kunywa