THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Nimesoma Bandiko moja la Mheshimiwa Kigwangala nikashindwa kabisa kuelewa anataka kuwaelezea nini Watanzania kati ya Tanzania hii aliyoiacha Hayati Magufuli na ile ya Kipindi cha Hayati Nyerere.
Kigwangala Nanukuu Ameandika "Rais Magufuli alitamani kuona nchi inabaki salama,ijitosheleze.Alitamani tujitegemee. Zama za Nyerere ni tofauti na zama za Magufuli" Mwisho wa kunukuu.
Sa mimi hapa sijamuelewa kabisa ni kwamba Nyerere kipindi cha zama zake hakutamani tujitegemee?,Tujitosheleze kama nchi?
Mulioelewa zaidi au nje ya boksi ya alichokiandika huyu Mheshimiwa karibuni.