Sielewi Kigwangalla anataka kuonesha nini kati ya Tanzania ya Magufuli VS Tanzania ya Nyerere!

Sielewi Kigwangalla anataka kuonesha nini kati ya Tanzania ya Magufuli VS Tanzania ya Nyerere!

Anatamani uteuzi! Na kujipendekeza kwa Samia watu wa hivyo ni hatari sana
 
Pole sana kwake #Kigwa na sote tulioguswa na msiba huu

Pamoja na kunyooshwa na Magufuli haikutufanya tusiuone uchapakazi wake na upendo wake kwetu

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 💔🇹🇿💔
Waziri wa zamani yupo sahihi au hayupo sahihi?
 
Kigwangala anamsifia Magufuli kwa vile alifanikisha yeye kupata ulaji (ubunge) wa dezo October 2020. Bila Magufuli angekuwa anaganga njaa tu saa hizi!
 
Cheza na saikolojia ya binadamu mwenzako kwa akili ya juu...

mimi intelegence yangu huwa namuona Kigwa ni mtu mmoja mshenzi sana + mnafiki...

Katafute post moja Instagram aliipost kabla ya kifo cha Magufuli akijifanya atafunga ili mzee baba apone...alipost video ya Magufuli akiwa anatest Bastola.

Kuna maneno mengine tumia sixth sense of your organ kuyatambua au ufahamu wa saba....hayo maneno yana uchochezi wa kumpiga Hayati Magufuli vibao vya uso.


Ok..unajua nini maana ya kujitosheleza?

Ok...unajua maana ya kubaki salama?

Je? kwa sasa kuna mvutano unaousikia au unao uona?...hali ya nchi Jee?

Jee? kwani Nyerere aliachaje nchi?

Jee? Kwani Magufuli ameiachaje nchi?

Jee? Wakati wa Nyerere ni kwa jinsi gani nchi ilibaki salama?

Je? Kwani kwa Magufuli nchi haipo salama? Ni kwa nini?

Katika awamu zote hizo mbili anazungumzia kujitosheleza kivipi?

Nini maana ya kujitosheleza?

fanya utafiti kupitia hayo maneno..hata vijiweni,kisha ukipata majibu unitag.
 
Cheza na saikolojia ya binadamu mwenzako kwa akili ya juu...

mimi intelegence yangu huwa namuona Kigwa ni mtu mmoja mshenzi sana + mnafiki...

Katafute post moja Instagram aliipost kabla ya kifo cha Magufuli akijifanya atafunga ili mzee baba apone...alipost video ya Magufuli akiwa anatest Bastola.

Kuna maneno mengine tumia sixth sense of your organ kuyatambua au ufahamu wa saba....hayo maneno yana uchochezi wa kumpiga Hayati Magufuli vibao vya uso.
Kwahio Mhesimiwa Kigwa unamaanisha ana UNAFIKI wa 5G Mkuu?
 
Anamaanisha Nyerere na Magu walikuwa na maono sawa juu ya Tanzania walioitaka, ila isingewezakana kwa mmojawapo wa marais hao wawili kutokana na zama.
Bahati mbaya haja-specify ni rais yupi aliyekuwa na maono yaliyokinzana na zama yake.
Pengine ni Nyerere alikuwa alikuwa na maono ya mbele sana wakati Tanzania ilikuwa nyuma sana, au kinyume chake (Magufuli)
 
Kigwa aendelee kuuza mtindi tu kunduchi ,uwaziri tayari alishafurushwa.

Hivi Kingwangalla nae anajiweka kati ya watu kwenye vipaji? Mtu huyu hajui hata kuwa muasisi wa siasa za kujitegemea sio JIWE bali ni nguli mwenyewe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.!
 
Jifunze kuelewa, huu ni msiba wa Magufuli na yanayoongelewa ni Magufuli! Sawa eeeeh?
Nionyeshe alipoandika kwamba ".... Nyerere hakutaka tujitegemee"
Kidogo una-'reason' vizuri siku hizi!

Haya, umeomba uonyeshwe alipoandika kwamba "--- Nyerere hakutaka tujitegemee".
Ni kweli hakuandika hayo maneno hivyo; lakini nawe eleza msingi wa Kigwa kumweka Nyerere kwenye mistari hiyo. Ilikuwa inaongeza umuhimu gani katika aliyokusudia kuyaandika.
 
Hivi Kingwangalla nae anajiweka kati ya watu kwenye vipaji? Mtu huyu hajui hata kuwa muasisi wa siasa za kujitegemea sio JIWE bali ni nguli mwenyewe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.!
Hapana.

Anajuwa.

Sema tu kwamba hakuwa na uwezo wa kuunda au kuunganisha maneno kwenye mistari yake hiyo yalete maana aliyokusudia.

Mimi nadhani hivyo.
 
Kidogo una-'reason' vizuri siku hizi!

Haya, umeomba uonyeshwe alipoandika kwamba "--- Nyerere hakutaka tujitegemee".
Ni kweli hakuandika hayo maneno hivyo; lakini nawe eleza msingi wa Kigwa kumweka Nyerere kwenye mistari hiyo. Ilikuwa inaongeza umuhimu gani katika aliyokusudia kuyaandika.
Kigwa ameomba zama za Magufuli zisifananishwe na za Nyerere sababu Nyerere hawezi fanana na mtu mwingine kama alivyo Magufuli.... na tunayemuombolezea sasa ni Magufuli na sio Nyerere

Kila mtu ni unique ndio maana hata sasa mtu akitaka Samia afanane na Magufuli haitakua rahisi. Tunaangalia malengo na jinsi yanavyofikiwa
 
Sema tu kwamba hakuwa na uwezo wa kuunda au kuunganisha maneno kwenye mistari yake hiyo yalete maana aliyokusudia

Kama hana uwezo wa kuunda na kuunganisha maneno yakaleta maana anayoitarajia ndio hajui hivyo!!
 
Nimesoma Bandiko moja la Mheshimiwa Kigwangala nikashindwa kabisa kuelewa anataka kuwaelezea nini Watanzania kati ya Tanzania hii aliyoiacha Hayati Magufuli na ile ya Kipindi cha Hayati Nyerere.

Kigwangala Nanukuu Ameandika "Rais Magufuli alitamani kuona nchi inabaki salama,ijitosheleze.Alitamani tujitegemee. Zama za Nyerere ni tofauti na zama za Magufuli" Mwisho wa kunukuu.

Sa mimi hapa sijamuelewa kabisa ni kwamba Nyerere kipindi cha zama zake hakutamani tujitegemee?,Tujitosheleze kama nchi?

Mulioelewa zaidi au nje ya boksi ya alichokiandika huyu Mheshimiwa karibuni.


Huyu pisikali huwa anaropoka tu,toka amekosa uwaziri hali yake mahamumu
 
Back
Top Bottom