Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Mkuu, mpaka Watanzania wasio CCM wala NCCR watazipata neema. Watanzania wa wilaya ya Hai sasa watapata neema kwa kufanya biashara zao bila bughudha.Ondoa hiyo kila ....mmoja wetu
Mimi sikuwahi kusema jiwe aachwe. Jiwe tulimjua na kashfa zake za wizara ya ujenzi na mifumo yake ya uendeshaji wa ofisi anazozisimamia.Defence ikizidi tutaanza mgeuka hata tunaomsupport.
Aachwe kivipi? Challenge ni lazima.
Mlisema jiwe aachwe - yaliyotokea wote tunayajua. Hii kuachwa,,, hapana,, akitoka kwenye mstari lazima akumbushwe. La sivyo tutatengeneza dikteta mwingine soon.
See????Hilo lilikuwa ni kosa kubwa la JPM maskini! Hakumjua RA vyema maskini ya mungu. Bye
Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Mwendazake ilikuwa ni ajali. Mungu bado anaipenda nchi yetu Tanzania ametupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa, SSH.Defence ikizidi tutaanza mgeuka hata tunaomsupport.
Aachwe kivipi? Challenge ni lazima.
Mlisema jiwe aachwe - yaliyotokea wote tunayajua. Hii kuachwa,,, hapana,, akitoka kwenye mstari lazima akumbushwe. La sivyo tutatengeneza dikteta mwingine soon.
WanyongeWakati wao wanaendelea kulalamika wajanja waaendelea mbele kwa mbele
Ukosefu wa demokrasia miaka 5 ya muovu dikteta jiwe haikutoa fursa kwa wanasiasa wapya kuonesha vipaji vyao. Ndiyo maana watu wanaojulikana vipaji vyao ni wale wa enzi ya Kikwete.kiasi kwamba watu wale wale, tena walio na rekodi mbaya katika utumishi wao ndio waendelee kuteuliwa?
Yaani maneno yako ya mwisho yamenichekesha sana, as if kulima ni dhambiyawezekana wengi mnaohoji hii mada ni either mna umri mdogo au mlikuwa kijijini mnalima.
Wewe ni mmbea. Taja jina wacha majunguHivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili?
Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi fulani, anaondolewa, anapumzishwa na baada ya muda fulani anateuliwa tena katika nafasi nyingine ya uongozi. Au utakuta mtu anaharibu sana katika sehemu moja, badala ya kuwajibishwa anahamishiwa sehemu nyingine.
Imekuwa kawaida sasa kusikia Raisi, au Waziri Mkuu au Waziri wakisema kwamba mtu fulani ameharibu sana hapa. Arudishwe wizarani akapangiwe kazi nyingine. Au Raisi kamtumbua mtu fulani, atapangiwa kazi nyingine. Ina maana apewe nafasi ya kuharibu sehemu nyingine? Hivi ina maana kuna watu ambao wanapewa hati miliki za uongozi? Na wengine hawastahili?
Kwa mfano, watu walilalamika kuhusu tabia za baadhi ya wakuu wa mikoa, kuhusu dharau zao, lugha zao, pamoja na Chalamila, lakini hawakusikilizwa. Kweli ilibidi Raisi Samia asubiri hadi na yeye awe mhanga wa lugha zisizofaa ndio achukue hatua? Kwa nini alipoambiwa hakutaka kusikiliza?
Kuna mkuu wa mkoa mwingine ambae alichakachua msaada wa seikali, Jakaya Kikwete akakasirika na kumwondoa kwenye nafasi yake. Leo Raisi Samia anaamua kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa. Hatuna watu wengine Tanzania wanaoweza kuwa wakuu wa mkoa bali yeye tu?
Na haya ndiyo maombi yetu.Mungu hawezi kuumba watu wawili wendawazimu watutawale kwa kupokezana. Mwendazake ilikuwa ni ajali. Mungu bado anaipenda nchi yetu Tanzania ametupatia Rais msikivu, mwenye hekima na mwenye upeo/ uelewa, SSH.
Tmuombe tu atuachie Katiba ya Rasimu ya Warioba
Mambo ya Dr Batilda yameingiaje? Kubali hujui hii nchi inaendajeHii ndio kawaida mnapokosa hoja. Whenever you see people speculating about others, just know they are small minds. Haihitaji kuambiwa, wewe jua tu kwamba you are a loser!
How can you start discussing people?? You are talking about Batilda na boys to men as if you know them. Discuss idea, stop discussing people as haisaidii. Mama Batilda is now RC Tabora na wewe na kumjadili kwako haitomfanya now asiwe RC. Mheshimiwa Rais kamteua kamuamini na atafanya kazi aliotumwa. Nyinyi endeleeni kuuliza maswali.
Mmekaa kwa wivu na fitna na majungu mnaombea watu mabaya. Eti Mungu yupo, ni lini Mungu alikuwa hayupo?? Halafu mnafanya kama Mungu ni wenu peke yenu. Losers! Mungu ni wa Mama Samia na Madam Batilda pia.
Na just so you know, kazi inaendelea wewe endelea kulalama.
Hujui kitu ndo maana unaingiza masuala ambayo sijawahi na siwezi kumsema Dr Batilda. Masuala ya kuwa mkuu wa mkoa ni small issue to me. Mie naongelea masuala ya uendeshaji nchi. Kama humjui RA basi wewe ni amateur au ni mahaba ya watu fulani fulani.See????
Yaani JPM aliekuwa kwenye system for more than 20 years before he became a president asimjue Rostam vizuri ila wewe mchimba chumvi ndio umjue Rostam vizuri???
You are a very small mind. You know nothing about administration. You know nothing about "giving in" in administration.
Tuachie kelele zako na kutuletea hoja zako za kiwehuwehu
Wanasiasa wa tz hasa ccm ni kama walikulia familia moja au walisoma shule moja. Ni waarabu wa pemba hutambuana kwa vilemba vyao.Umesema kweli na mifano iko mingi, si ya kutafuta wala kutajiwa. Wanasiasa wa kitanzania wote wanaunganishwa na kitu kimoja: maslahi binafsi. Haya mengine ya kusema sijui kutumikia wananchi ni bla bla tu. Ni sahihi kusema kabisa kuwa ni kama kikundi cha matapeli au wahalifu. Hawatupani.
Ki ukweli sio timu JK bali timu ulajiTeam JK imerudi kwa kasi, lakini matumaini ni kwamba hao wanaorudishwa hawatarudi na madudu ya awamu ile.
Matumaini ni Rais Samia kuwa na sauti, maana inakuwa haina faida kwa taifa kama wanarudishwa wanamtandao halafu wakarudi na akili zile zile za wakati ule.
Mkuu 'Yoda', kukwambia ukweli bila kukuficha lolote, uamini wangu umekwishapita hatua hiyo ya kuitegemea Katiba kuwa mwarobaini wa matatizo yetu.Pigania katiba mpya itakayokupa fursa ya kuchagua mkuu wako wa mkoa kwa kura yako mwenyewe badala ya kuteuliwa Bashite au Sabaya.
Wewe unaeleweka toka ulipoweka lile bango lako hapa.Kama unashindwa kuona mpaka Leo kwa macho yako mwenyewe ni lipi haswa sisi tunaweza kukuonyesha??
Umesikia huko Kwamba vyombo vya habari vilivyofungiwa vyote vimefunguliwa?
Nchi hii ilikuwa inaliwa kimya kimya na genge flani la watu waliokuwa wakijifanya ndio wazalendo, unazo habari kwamba mama amewatimua wote ikulu mmoja baada ya mwengine. Au unadhani kulitoa lile genge ikulu ni kazi rahisi?? Hilo genge ndio lilikuwa linaenda kuandaa mtu wao wa kuchukua madaraka 2025 mpaka 2035. Kufikia 2035 wewe ungekuwa na miaka 55 au 60 na habari yako ingekuwa imekwisha. Mshukuru sana Mama mkuu.
Sajo, nimekusoma mkuu.Ni kama tunajidanganya kuwa nchi hii ni yetu (watanzania) wote. Ukiangalia kwa kina utaona sisi wengine (achana na wanaostahili teuzi na kuhamahama nafasi) ni kama wahamiaji ila tu hatuitwi haramu. Hatustahili kupata nafasi yoyote ya kimaamuzi zaidi ya kupangiwa utaratibu wa maisha na tabaka lilelile la miaka na miaka. Keki ya Taifa si ya wote, ni sisi tu ndio tunaoambiwa kuwa tujiulize tumeifanyia nini nchi yetu, sasa hili swali linastahili kusomwa kimasikitiko, hivi tumeifanyia nini nchi yetu mpaka tunapuuzwa hivi?