Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti angependa aolewe naye

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti angependa aolewe naye

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mpole

5.Asimuonee wivu mke
wake

6.Awe mwenye upendo
wa dhati

7.Asishike simu ya
mke wake.

8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani

9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.

10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
 
1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mpole

5.Asimuonee wivu mke
wake

6.Awe mwenye upendo
wa dhati

7.Asishike simu ya
mke wake.

8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani

9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.

10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Huyo mwanaume labda awe roboti.
 
1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mpole

5.Asimuonee wivu mke
wake

6.Awe mwenye upendo
wa dhati

7.Asishike simu ya
mke wake.

8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani

9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.

10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Atashuka toka mbinguni
 
Mi mwanaume wa hivyo simtaki. Huyo mwanaume au msukule sasa?
Kitendo cha kukuhudumia tu ujue utawajibika kujilinda kuvuliwa chupi na mtu yeyote asie mimi na kama utashindwa basi jua nitakukamata tu na ndio mda ambao mi nawewe tunaachana safi salama. Siwezi kuwa na pesa halafu kuwa boya at the same damn time mimi.
 
Kitendo cha kukuhudumia tu ujue utawajibika kujilinda kuvuliwa chupi na mtu yeyote asie mimi na kama utashindwa basi jua nitakukamata tu na ndio mda ambao mi nawewe tunaachana safi salama. Siwezi kuwa na pesa halafu kuwa boya at the same damn time mimi.
Kweli hata mimi sitaki mwanaume anaeona poa nikiwa na wanaume wengine. Kwanza nikiwa na mwanaume akinisujudia tu namuacha. Napenda mwanaume mStaarabu ila sio wa hivyo
 
1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mpole

5.Asimuonee wivu mke
wake

6.Awe mwenye upendo
wa dhati

7.Asishike simu ya
mke wake.

8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani

9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.

10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Hapo ndipo utaposhangaa maajabu ya mwanamke wa kibongo. Atalalamika unamfatilia sana unambana ila ukimuuliza haya huo uhuru unaotaka wa kuficha ficha simu na kutofatiliwa dhamira yake hasa ni nini kama we ni mke wangu. Atakutolea mimacho na kuanza kutafta excuse ambazo hazina mashiko eti mbona zari na diamond hawashikiani simu.

Pumbavu kabisa unanifanananisha maisha yangu na hao wapuuzi wa mitandaoni.
 
Back
Top Bottom