Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BravoMi mwanaume wa hivyo simtaki. Huyo mwanaume au msukule sasa?
Awe tayari kutumwa na mkewe. Hata kama ni kwa Mume mwenza aende tu.1. Awe na pesa nyingi
2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura
3. Ajenge ukweni
4.Awe mpole
5.Asimuonee wivu mke
wake
6.Awe mwenye upendo
wa dhati
7.Asishike simu ya
mke wake.
8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani
9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.
10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Sifa ya 11. Huyo mwanaume hayupo dunia hii1. Awe na pesa nyingi
2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura
3. Ajenge ukweni
4.Awe mpole
5.Asimuonee wivu mke
wake
6.Awe mwenye upendo
wa dhati
7.Asishike simu ya
mke wake.
8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani
9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.
10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Hahahhaaa.Hapo ndipo utaposhangaa maajabu ya mwanamke wa kibongo. Atalalamika unamfatilia sana unambana ila ukimuuliza haya huo uhuru unaotaka wa kuficha ficha simu na kutofatiliwa dhamira yake hasa ni nini kama we ni mke wangu. Atakutolea mimacho na kuanza kutafta excuse ambazo hazina mashiko eti mbona zari na diamond hawashikiani simu.
Pumbavu kabisa unanifanananisha maisha yangu na hao wapuuzi wa mitandaoni.
Katika yote yaliopo katika namba tasa kuanzia namba 3 hayatekelezeki.1. Awe na pesa nyingi
2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura
3. Ajenge ukweni
4.Awe mpole
5.Asimuonee wivu mke
wake
6.Awe mwenye upendo
wa dhati
7.Asishike simu ya
mke wake.
8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani
9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.
10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Basi atakuwa wa kuchora🙂Hata huko hayupo mkuu.
hii ni kweli kabisa mkuu.Ukishakuwa na pesa nyingi usioe