Na sisi Biblia inatuambia kwamba wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa umakini
Hakuna mtu dhaifu mbele ya Mungu,neno dhaifu lina maana nyingi, udhaifu inaweza kuwa kutokamilika,mbaya wa vitendo nk
Paulo kaharibu mahubiri ya Yesu,mkuu unajua kuwa asilimia 70 ya maandiko ya biblia kandika Paulo,mtu ambae hajawahi kukutana na Yesu,mtu ambae alikuwa anampinga Yesu,mtu ambae aliwasaka na kuwaua wafuasi wa Yesu popote pale waliko,usiamini sana maneno ya biblia,tafuta ukweli wa mahubiri ya kweli ya Yesu
Katika Kuran anasema Mungu anasema "Nimemuumba Binaadamu katika umbo bora zaidi katika viumbe vyoye alivyoumba"
Kuran 2:228 "Wanawake wana haki sawa na wanaume juu, sema wanaume wako juu yao"
halafu kuran ikaeleza kwanini wanaume wako juu wanawake:
Kuran 4:34 "Wanaume wawasimamia wanawake, kwa sababu Mwenyezi Mungu ameumba mmoja wao awe bora(kimaumbile(nguvu.....)) kuliko mwingine, na kwa sababu hiyo wanaume watumie mali zao (kwa kuwasaidia wanawake)"
Kifugu namba 3: mwanamme ajenge ukwenu.-uislam unafundisha kuwa mwanamme lazima awasadie wakwe zake,kama ana uwezo wa kuwajengea basi awajengee,kusaidia ukweni inazidisha mapenzi kwa mke na familia ya mwanamke...
Hakika uislam unawatunza sana wanawake.....