Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti angependa aolewe naye

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti angependa aolewe naye

1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mpole

5.Asimuonee wivu mke
wake

6.Awe mwenye upendo
wa dhati

7.Asishike simu ya
mke wake.

8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani

9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.

10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Haha no point
 
Na sisi Biblia inatuambia kwamba wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa umakini
Hakuna mtu dhaifu mbele ya Mungu,neno dhaifu lina maana nyingi, udhaifu inaweza kuwa kutokamilika,mbaya wa vitendo nk

Paulo kaharibu mahubiri ya Yesu,mkuu unajua kuwa asilimia 70 ya maandiko ya biblia kandika Paulo,mtu ambae hajawahi kukutana na Yesu,mtu ambae alikuwa anampinga Yesu,mtu ambae aliwasaka na kuwaua wafuasi wa Yesu popote pale waliko,usiamini sana maneno ya biblia,tafuta ukweli wa mahubiri ya kweli ya Yesu

Katika Kuran anasema Mungu anasema "Nimemuumba Binaadamu katika umbo bora zaidi katika viumbe vyoye alivyoumba"

Kuran 2:228 "Wanawake wana haki sawa na wanaume juu, sema wanaume wako juu yao"

halafu kuran ikaeleza kwanini wanaume wako juu wanawake:

Kuran 4:34 "Wanaume wawasimamia wanawake, kwa sababu Mwenyezi Mungu ameumba mmoja wao awe bora(kimaumbile(nguvu.....)) kuliko mwingine, na kwa sababu hiyo wanaume watumie mali zao (kwa kuwasaidia wanawake)"

Kifugu namba 3: mwanamme ajenge ukwenu.-uislam unafundisha kuwa mwanamme lazima awasadie wakwe zake,kama ana uwezo wa kuwajengea basi awajengee,kusaidia ukweni inazidisha mapenzi kwa mke na familia ya mwanamke...

Hakika uislam unawatunza sana wanawake.....
 
Nadhani sifa hizi zinatofautiani kanda moja na nyingine.
 
11.awe anaosha vyombo,anapiga deki,anapika na kufua nguo.haki sawa 50/50
 
Dunia ya leo mwanaume wa namna hiyo hayupo
Wanaume kama hao wapo mkuu wa kwanza mimi,isipokuwa vifungu havimo kwenye agenda yangu:

5.Asimuonee wivu mke
wake

7.Asishike simu ya
mke wake.

Dini yangu inasema "Wivu" ni suna...,kama namuhudumia mke wangu kwa kila kitu kwanini nisishike simu yake...
 
12.asiwe anavuta sigara wala kunywa pombe
 
Hivi hiyo D: D ina maana gani??? Naomba unitoe ushamba
mkuu simu yako haipokei "Similey",, hiyo ni alama ya kucheka,mkuu kama unauwezo nunu simu nyingine hiyo ulikuwa nayo imepitwa na wakati
 
mkuu simu yako haipokei "Similey",, hiyo ni alama ya kucheka,mkuu kama unauwezo nunu simu nyingine hiyo ulikuwa nayo imepitwa na wakati
Hahaa!!!! Simu yangu ni techno j5 nadhani mwakani ntanunua I phone X
 
Tehe tehe trust me wanàwake wengi ndo wanataka sifa hizo na ndiyo maana wanahisi wanamikosi kuwakosa wenye sifa hizo
 
1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe
mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mpole

5.Asimuonee wivu mke
wake

6.Awe mwenye upendo
wa dhati

7.Asishike simu ya
mke wake.

8.Akimkuta na
mwanaume apite tu,
akitaka kujua ni nani
asubiri nyumbani

9.Awe anamsikiliza
mke wake kwa kila
kitu.

10.Asipende
mwanamke mwingine
zaidi yake.
Labda unazungumzia wachezaji wa EPL .
 
Back
Top Bottom