stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Umegundua eeeh,wanamuona kama Diamond na Zari ndio role model wa ndoa zao wakati wote ni wale wale tu...Hapo ndipo utaposhangaa maajabu ya mwanamke wa kibongo. Atalalamika unamfatilia sana unambana ila ukimuuliza haya huo uhuru unaotaka wa kuficha ficha simu na kutofatiliwa dhamira yake hasa ni nini kama we ni mke wangu. Atakutolea mimacho na kuanza kutafta excuse ambazo hazina mashiko eti mbona zari na diamond hawashikiani simu.
Pumbavu kabisa unanifanananisha maisha yangu na hao wapuuzi wa mitandaoni.