Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti angependa aolewe naye

MMMH UYO MWANAUME NI WA KUCHUNGUZWA PENGINE SIO KAMILI KULINGANA NA HIZO SABABU AU PENGINE NI KILAZA, MSHAMBA n.k kutokana ni hizi sababu 5,7,8 NA 9 ni 40/60. HAKUNAGA KITU KAMA HIKI.
 
MMMH UYO MWANAUME NI WA KUCHUNGUZWA PENGINE SIO KAMILI KULINGANA NA HIZO SABABU AU PENGINE NI KILAZA, MSHAMBA n.k kutokana ni hizi sababu 5,7,8 NA 9 ni 40/60. HAKUNAGA KITU KAMA HIKI.
Hiyo namba 9 mbona ipo kwa wanaume wengi wa siku hizi
 
Hiyo namba 9 mbona ipo kwa wanaume wengi wa siku hizi

ATLEAST 9 kuna kusikilizana na kufikia mwafaka juu ya jambo/mipango fulani sio kusikiliza upande mmoja. Yani mwanaume anaemsikiliza mwanamke 100% yani kila kitu ni yes yes sio kamili yani anamatatizo kwa maana yeye sio kichwa cha familia na wala sio kiongozi. Always man is dominant no matter what circumstances otherwise he is inferior!
 
huo upuuz si bora ukanune gazeti ujipepee
 
Huyo ni bwege sio mme
 
Dunia ya leo mwanaume wa namna hiyo hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…