Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti angependa aolewe naye

Umegundua eeeh,wanamuona kama Diamond na Zari ndio role model wa ndoa zao wakati wote ni wale wale tu...
 
Namtaka wa hivo aiseee, sema tu hizo sifa mmezichukulia negatively
 
Pia umesahau ASIWE MSUMBUFU,,, mkewe akimwambiya nimechoka... Mwezi huu wote HUNIGEGEDI...
 
Kuna sehemu nilisoma eti, wanaume Kama hao walisha kufaga kwenye vita ya kwanza ya dunia asee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kweli jf ni sehemu ya kupunguza stress kwa haya maneno...!
 
awe bwege akimfamania mwanaume ndo amuulize eti mkee wangu nini sasa iyo ?? zamu yangu lini ??
 
Sheria ya dini ya kiislam kwa mwanamke anaefanya kazi inasema hivi:Kama mwanamke uliemuoa anafanya kazi au biashara basi mshahara anaoupata au mapato ya biashara anayopata yote huwa yake,yake peke yake,kama anataka kumgaia muwe wake ni hiari yake sio lazima

Kama mwanamme ameoa na anafanya kazi au biashara kile anachokipata ni cha familia,na ni lazima ampe kitu kidogo mke wake cha kutumia kama mke hana hana kipato

Hakika uislam ni dini inayolinda manufaa na haki za wanawake
 
Na sisi Biblia inatuambia kwamba wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa umakini
 


haypo huyu mwenye sifa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…