Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi.

Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya kabila lote.
 
Kati ya pisi 10 hizo unazo zitetea 9 zina toa mzigo bila shida na iyo 1 ita toa ila kwa kuchelewa all in all. Sio wachoyo uta kua ume oa uko wewe sio bure
 
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, Manyara na Dodoma wlaya flani kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi.

Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya kabila lote.
wanawake wa hiyo mikoa ni wazuri sana sasa akiingia mji ka. dar anashambuliwa na wahuni kibao
 
Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, Manyara na Dodoma wlaya flani kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi.

Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya kabila lote.
Unachosema kweli kabisa
 
Uvumilivu kwani Mbususu anayo peke ake?

Binafs
ke akishaanza mapoz kwny Mbususu nampotezea, Najua automatically hanifeel

Mambo ya sex yanahitaji hisia,sio kubakana.
kila mtu na mbinu zake bana😂 we endelea kutumia direct-approach, si wengine tubaki na sneak attack😂
 
Back
Top Bottom