Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Wapare ni wabahili pia wana roho mbaya, kuna siku nlikutana na mdada kwenye bus, akawa ananipa story ya shoga ake anamfanyia visa, anafanya mambo kwa binafsi n.k n.k nikamuuliza rafiki ako ni mpare? Akajibu ndio... Nilicheka, Wapare wana roho mbaya
Niletee simple researche,kenge wewe
 
Wamahanji(Bulongwa Makete).
 
Kasahau na majigambo kwa wanyakyusa. Ila wachawi zaidi ni wakinga
WANYAKYUSA NINACHOWAKUBALI MIMI WAMESTARABIKA SANA NA DINI WANAIJUA VIZULI SANA,.........

ILA KINACHONIKERA TOKA KWA WANAWAKE KINYAKUYSAA WANAPENDA KUWATAWALA NA KUWANYANYASA WANAUME ZAO

MIMI NSHADATE NA WADADA WA KINYAKYUSA KAMA WATATU YAANI. NI LAZIMA UKIMBIEE TUU
 
MIMI UZULI WANGU NIMESHAKUWA NA MAHUSIANO NA WADADA KIPARE KAMA WANNE HIVI KATIKA MAPENZI.

UKWELI NI KWAMBA NA WADADA WENGI WA KIPARE NI WAVUMILIVU SANA NA WANA HESHIMU SANA WANAUME .....

NA HII INATOKANA WADADA WENGI WA KIPARE NI WASABATO NA WAISILAMU.

UKWELI NI KWAMBA MTU ALIYEKULIA KATIKA DINI YA SABATO AU UISILAMU HUWA NI MVUMILIVU KWAIYO MKUU HAYO YOTE UNAYAONA HAPO NI SABABU YA SABATO NA UISILAMU IMEJENGA
 
Ila wanawake wa kinyakyusa kweli wababe. Halafu wanajifanyaga wanajua kila kitu. Ningekua mwanaume nisingeoa mnyakyusa.
 
waha umesahau kuwa ukimuoa muha nyumban kwako patageuzwa kiwa jalala, choo na damper yaani wachafu hao. Mtoto anaweza kojolea au kunyea bakuli lakini likapakuliwa mboga mida ya msosi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simo mae.
 
😀😀😀😀😀
Hiyo kazi wanaweza vizuri sana
Kuna mdada mmoja huwa anatembea na cheti cha hospital, anaomba elf moja ukimwambia sina anakuambia basi ninunulie pepsi ya baridi huku amekunja sura yani yupo serious
Kila kabila kuna watu wanaohitaji kutendewa matendo ya huruma. Wewe kufanya hivyo ni wajibu wako kama raia mwema.
 
Mgogo ukitaka umfaidi, mwajiri mpe kazi ya kwenda kuomba, ikifika saa saba mchana keshaleta hesabu. Nataka nifanye hii project ya kuajiri wagogo wakaombe mchana walete hesabu. Hali ngumu ati!!!
Tutendeeni haki jamani, hivi nchi hii kuna mji hakuna ombaomba, ina maana hao wote ni wagogo?

HIYO ni tabia ya mtu, walio wengi hawajiwezi wanahitaji msaada wetu, siyo kuwasimanga.

Kwa sasa nipo Chilonwa Dodoma.
 
Ohooooo dada samahani hapo kwa wakurya Jaribu upya research yako,

Alafu urudi tena sawa eeeeh??
 
Tutendeeni haki jamani, hivi nchi hii kuna mji hakuna ombaomba, ina maana hao wote ni wagogo?

HIYO ni tabia ya mtu, walio wengi hawajiwezi wanahitaji msaada wetu, siyo kuwasimanga.

Kwa sasa nipo Chilonwa Dodoma.
Mkuu tatizo hao waliopo huku kwenye miji mingine ukifiatilia kabila unakuta nao ni wagogo. Nchi yetu inaruhusu mtu kwenda popote bila kuvunja sheria. Cha msingi ni kubadilika tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umejua kunichekesha
 
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Ila wabishi wao siku zote wanaona wako sahihi hata kwa wasichokijua.......Wanasimamia wanachikiamini hata kama ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…