Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa
ni watu wa ajab ajab ki ukweli, waba ubishi mbayaaaIla wabishi wao siku zote wanaona wako sahihi hata kwa wasichokijua.......Wanasimamia wanachikiamini hata kama ni uongo
Hapo mwisho nimesema mbona. Pia kuna mdau ameeleza vizuri wasukuma kulingana na maeneo ndivyo na tabia zilivo, mfano wa Magu wachawi, wa shinyanga wana dharau n.k n.kasee hizi sifa wasukuma ume wa overhype,
wasukuma wabishi, wakabila huwa wanajiona wanajua kila kitu
daah naishia hapo kwa leo
Aaaah wapi katika wakurya 10 mstaarabu mmoja tu tena nae labda wa mjini wakurya wakorofiOhooooo dada samahani hapo kwa wakurya Jaribu upya research yako,
Alafu urudi tena sawa eeeeh??
Matendo ya huruma kwa mtu mwenye akili timamu, afya njema, nguvu na viungo vyote vya mwili anavyo??? Afu aombe nimpe? Be serious aseee.....Kila kabila kuna watu wanaohitaji kutendewa matendo ya huruma. Wewe kufanya hivyo ni wajibu wako kama raia mwema.
Mmmh kwa hilo sijui, sie nyumbani enzi hizo mabinti wa kazi, vijana wa kuchunga ng'ombe walikua wanaletwa Waha aseee Waha ni wachapa kazi mnooo pia uaminifu wanajitahidi sana.waha umesahau kuwa ukimuoa muha nyumban kwako patageuzwa kiwa jalala, choo na damper yaani wachafu hao. Mtoto anaweza kojolea au kunyea bakuli lakini likapakuliwa mboga mida ya msosi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simo mae.
Hapa tu tayari research tosha jinsi mlivo huna na haja ya kuchukia ndivyo mlivoumbwa na roho ya ziada roho mbayaa....Niletee simple researche,kenge wewe
Sio kweli ni Watu wa kubadilika badilika kila siku huwa hawana msimamo.Ila wabishi wao siku zote wanaona wako sahihi hata kwa wasichokijua.......Wanasimamia wanachikiamini hata kama ni uongo
Hahahaaa wewe binti wewe.Aaaah wapi katika wakurya 10 mstaarabu mmoja tu tena nae labda wa mjini wakurya wakorofi
Pombe sanaNilitaraji kuona uchambuzi wa wanaume na wanawake WANGONI NA WAMATENGO sijaona au wao kila kitu wako saaafiiiiii
Je, kabila gani halija tajwa hapo ?
Wamatengo,wangoniWangindo,Wamakonde.
ILA MI KATIKA MAKABILA YOTE TANZANIA WAGOGO MIMI HUWA NASHIDWA KUWAELEWA......Tutendeeni haki jamani, hivi nchi hii kuna mji hakuna ombaomba, ina maana hao wote ni wagogo?
HIYO ni tabia ya mtu, walio wengi hawajiwezi wanahitaji msaada wetu, siyo kuwasimanga.
Kwa sasa nipo Chilonwa Dodoma.
Ni wakatili wakionewa. Lakini ni wakweli kwa mkweli. Na hawana urafiki wa kinafikiILAA HAO JAMAA NI WAKATILI KUPITA KIASI! HIVI KULE DINI HAZIPO?
Hujakutana nao mkuu au utakua umekutana na hybrid...........Ila wale wenyewe pure hawashikiki kwa ubishi usio na factsSio kweli ni Watu wa kubadilika badilika kila siku huwa hawana msimamo.
Wapare: ni wabinafsi sana,wanapendana na kusaidiana wao kwa wao ila ni wastaarabu na ucheshi kidogoNajua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.