Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa

asee hizi sifa wasukuma ume wa overhype,
wasukuma wabishi, wakabila huwa wanajiona wanajua kila kitu
daah naishia hapo kwa leo
 
asee hizi sifa wasukuma ume wa overhype,
wasukuma wabishi, wakabila huwa wanajiona wanajua kila kitu
daah naishia hapo kwa leo
Hapo mwisho nimesema mbona. Pia kuna mdau ameeleza vizuri wasukuma kulingana na maeneo ndivyo na tabia zilivo, mfano wa Magu wachawi, wa shinyanga wana dharau n.k n.k
 
Kila kabila kuna watu wanaohitaji kutendewa matendo ya huruma. Wewe kufanya hivyo ni wajibu wako kama raia mwema.
Matendo ya huruma kwa mtu mwenye akili timamu, afya njema, nguvu na viungo vyote vya mwili anavyo??? Afu aombe nimpe? Be serious aseee.....
Kuna watu wenye uhitaji ila sio kila mtu, siku moja nlikua twn akaja babu mmoja Mgogo anaomba hela ya nauli, mwenyewe nna jero tu kwenye pochi nikaitoa hiyo hiyo nafika mbele namuona anaomba watu wengine nauli, nilichukia mi hata wazee siwapi ni wasanii tu bora walemavu
 
waha umesahau kuwa ukimuoa muha nyumban kwako patageuzwa kiwa jalala, choo na damper yaani wachafu hao. Mtoto anaweza kojolea au kunyea bakuli lakini likapakuliwa mboga mida ya msosi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simo mae.
Mmmh kwa hilo sijui, sie nyumbani enzi hizo mabinti wa kazi, vijana wa kuchunga ng'ombe walikua wanaletwa Waha aseee Waha ni wachapa kazi mnooo pia uaminifu wanajitahidi sana.
Kuna binti ye alikua mchafu wa mwili nguo chafu ila nyumba kwa siku anadeki mara mbili nyumba inang'aa muda wote kama imefanyiwa lamination yani akiona maji chini muda mwingine anachukua kanga aliyovaa anafuta chini afu anajifunga tena 😀
Ila ukisaidiwa kazi na muha hujutii
 
Niletee simple researche,kenge wewe
Hapa tu tayari research tosha jinsi mlivo huna na haja ya kuchukia ndivyo mlivoumbwa na roho ya ziada roho mbayaa....
Ila tunawaelewa endeleeni tu, kama nakuona unavoongea kwa kithembe kwamba wataka thimpo rithechi

Ushahidi mwingine huu hapa soma Wapare mlivo,angalia pia dada ako mange kimambi

WAKWE WA KIPARE
 
Ila wabishi wao siku zote wanaona wako sahihi hata kwa wasichokijua.......Wanasimamia wanachikiamini hata kama ni uongo
Sio kweli ni Watu wa kubadilika badilika kila siku huwa hawana msimamo.
 
Nilikuwa na mwanamke wa kimasai duh... mkorofi kweli cjui wote wako ivo?
 
Tutendeeni haki jamani, hivi nchi hii kuna mji hakuna ombaomba, ina maana hao wote ni wagogo?

HIYO ni tabia ya mtu, walio wengi hawajiwezi wanahitaji msaada wetu, siyo kuwasimanga.

Kwa sasa nipo Chilonwa Dodoma.
ILA MI KATIKA MAKABILA YOTE TANZANIA WAGOGO MIMI HUWA NASHIDWA KUWAELEWA......

HIVI KWANINI MNAPENDA SANA KUOMBA OMBAAA
 
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Wapare: ni wabinafsi sana,wanapendana na kusaidiana wao kwa wao ila ni wastaarabu na ucheshi kidogo
 
Back
Top Bottom