Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Umesahau wahehe mkuu wenye roho nzuri
 
Hakuna neno naomba kwa wakurya wao ni nipe, nataka... Hiyo lugha ya command ndo huwa inanichosha mie
Salt.wakurya watu poa sana.ukorofi hufanyiana wao kwa wao .wana heshimu sana wageni maana na wakalimu alafu sio wanafiki kabisa akichukia ana kuambia papohapo sio wengine mpaka akunafikie kwa watu.maswala ya miziziology (uchawi) hawajui kabisa ndio swala la kuwaogopa watu wasio wajua wakiofia kulogwa
Ila wasukuma swala la ukarimu lime gawanyika sehemu moja na nyingine
Wasukuma wa bariadi wanadharau sana wabishi hatari.
Wasukuma wa magu wachawi balaaa
Wa mwanza mjini hawa ni wasela wasela tu.
Wa misungwi hawa ni wanafiki balaaa na roho mbaya
Kwimba-ngudu hawa ni washamba balaaa kuna wengine mpaka Leo kiswahili hawajui
Shinyanga na kahama hawa ni wapole wa kalimu na miziziology wako vizuri
Meatu hawa bado ni primitive kabisa tabia ni kama nusu wasukuma nusu wamasai hata uvaaji.
 
Ila kwa mimi, the best woman (in bed) niyewahi kutana na ye ni mkurya, napita tu, maana yuko humu ila kaolewa na rafiki yangu, mi nilimfungulia njiaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
WATANZANIA KARIBIA WOTE WANA ROHO MBAYAAAAA SIO WAPARE WALA WAHAYA WALA WAKURYA SIO WASUKUMA MIMI NAONA KARIBIA WOTE WANA ROHOO MBAYAAAAAAAAAAAA.

YAAANI ANGALAU KIDOGO WAZALAMOOOO
Ata me wazalamo nimeish nao... Wako fair sana ata wanawake, ukimwomba hababaish ata kam ni mke wa mtu mrad iwe siri tu bs
 
naunga mk
naunga nkono hoja maana nilionjeshwa, nika tamani kuchonga mzinga ila rafiki akaniwahi, nilibaki najiramba
 
Ila kwa mimi, the best woman (in bed) niyewahi kutana na ye ni mkurya, napita tu, maana yuko humu ila kaolewa na rafiki yangu, mi nilimfungulia njiaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Kulikoni rafiki ako kukutmbea alikua hajui au?
 
Na wakinga hawajengi kwao lakini ndio matajiri wakubwaa Tanzania kwao huko wanakokuita makete kubayaaa sana mbaya zaidi na ukimwi wa kasi ya ajabu pa uongoooo
 
Nashauri wakinga basi waigeni hata wachaga basi hata kama wana madhaifu yao lakini hawapasahau nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…