Labda useme wewe cute,mwanaume anapenda vya umbea mpaka mwanamke wewe ndo unaona aibu...akikaa kumjadili MTU mpaka unajiuliza ivi wanaompa heshima huko ofisini wanajua hiliWell said[emoji1490][emoji1490][emoji1490]unakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mate….SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES [emoji57]
Tatizo ni vituko vya mwanamke pale tu anapokua ameshika mimba na ukaikubali huku unafikiria kuwa hauna mpango wa kuwa baba kwa kipindi hicho ndio hapo mbio zinapoanza!Single mother twadharaulika na single father wengi humu ndani....wasizalisha ovyo watoto wa watu(wanaume sasa) wapo kimya
No one is perfect....kama wewe ni perfect kwann usiwe Mungu...usinglemother wake,shuruba zake wewe kinakutesa kipi....kazalishwa sawa,it's her business.... Hajaolewa,sawa it's out of your business.... Unamdharau kwa lipiHiyo ya single mother hapana[emoji28]
Kuna wanawake wanastahili kudhalauliwa, ni stahiki yao
Let's roll let's roll madame 😘Yeah,it's another new year my bro
Pole sana...😂😂😂kuna wanaume ni wanaume....mpaka kuwa nae unaogopa unahisi matendo yako ya nyuma kuwa nae unamkosea sana....Yaan unawaza kwanini hakuwa yeye before....Be a man mkuu
Pole sana...Yeah,acha nisonge mbele.Makosa aliumbiwa mwanadamu ...marekebisho aliumbiwa mwanadamu👊
Mie kususa siachi no matter what.1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee
NB:BE A MAN!
😳Mbona karibia hizo sifa zote sasa zinanihusu mimi!!
Relax utakufa kwa pressure hii temper yako sio ya nchi hii hahahaa 🤣🤣🤣 jaribu kureflects na maisha yako kwa sasa, Taratibu atakuja yule sahihi ila kwa kutufokea huku hahahaa 🤣🤣🤣 lazima tutoke mbio..No one is perfect....kama wewe ni perfect kwann usiwe Mungu...usinglemother wake,shuruba zake wewe kinakutesa kipi....kazalishwa sawa,it's her business.... Hajaolewa,sawa it's out of your business.... Unamdharau kwa lipi
....kakufanya nn...kakupunguzia kipi? Umemkalia tako mwana wa mwenzio kakupunguzia nini kwa usiglemother wake....BE A MAN....YAAN KAKA ...KUWA MWANAUME!!!
Ubahili ujasema ccy1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee
NB:BE A MAN!