Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Well said[emoji1490][emoji1490][emoji1490]unakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mate….SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES [emoji57]
Labda useme wewe cute,mwanaume anapenda vya umbea mpaka mwanamke wewe ndo unaona aibu...akikaa kumjadili MTU mpaka unajiuliza ivi wanaompa heshima huko ofisini wanajua hili
 
Single mother twadharaulika na single father wengi humu ndani....wasizalisha ovyo watoto wa watu(wanaume sasa) wapo kimya
Tatizo ni vituko vya mwanamke pale tu anapokua ameshika mimba na ukaikubali huku unafikiria kuwa hauna mpango wa kuwa baba kwa kipindi hicho ndio hapo mbio zinapoanza!
 
Hiyo ya single mother hapana[emoji28]

Kuna wanawake wanastahili kudhalauliwa, ni stahiki yao
No one is perfect....kama wewe ni perfect kwann usiwe Mungu...usinglemother wake,shuruba zake wewe kinakutesa kipi....kazalishwa sawa,it's her business.... Hajaolewa,sawa it's out of your business.... Unamdharau kwa lipi
....kakufanya nn...kakupunguzia kipi? Umemkalia tako mwana wa mwenzio kakupunguzia nini kwa usiglemother wake....BE A MAN....YAAN KAKA ...KUWA MWANAUME!!!
 
Kwa mbaaali naona kama unamfukuzia Yuniki Fulawa...

Naona twenti twenti siriii umeanza na wanaume kwa kasi...
Haina shida,twende taratibu...tukifanana haibadilishi content
 
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee

NB:BE A MAN!
Mie kususa siachi no matter what.
 
No one is perfect....kama wewe ni perfect kwann usiwe Mungu...usinglemother wake,shuruba zake wewe kinakutesa kipi....kazalishwa sawa,it's her business.... Hajaolewa,sawa it's out of your business.... Unamdharau kwa lipi
....kakufanya nn...kakupunguzia kipi? Umemkalia tako mwana wa mwenzio kakupunguzia nini kwa usiglemother wake....BE A MAN....YAAN KAKA ...KUWA MWANAUME!!!
Relax utakufa kwa pressure hii temper yako sio ya nchi hii hahahaa 🤣🤣🤣 jaribu kureflects na maisha yako kwa sasa, Taratibu atakuja yule sahihi ila kwa kutufokea huku hahahaa 🤣🤣🤣 lazima tutoke mbio..
 
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee

NB:BE A MAN!
Ubahili ujasema ccy
 
Humu zimejaa thread za kukashfu wanawake hadi naanza kuona kama wanaume ni kama kuna fuse zimelegea.

Yani watu wanatelekeza watoto mitaani hakuna anaesema. Wanabaka kutwa ila hakuna anaesema. Wanawakatili wanawake ila hawayaoni. Yaani wao ni kukashfu tu. Af ukifatilia historia ya huyo mwanaume ni kama dishi lilichezaga. So wote wa design hiyo sku hizi nawavua vyeo. Mwanaume na akili zake timamu na noti mfukoni hana mda wa kudiscuss mapungufu ya mwanamke ambae ana uwezo wa kukuzaa.
 
Back
Top Bottom