Sifa za mwanaume

Wanaume wa siku hizi wanapenda umbea kuliko kulaaaaa.
😂😂😂tena ni mwanaume anajiita lakin anatema mpaka povu lamtoka kona za mdomo😔
 
Reactions: EEX
Hiyo f. Kama inaingiza Hela Kuna shida gan?? Emotions blind you
 
Ndo msidharau single mother wakati nanyi ni singlefather
Sio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
 
Nilitarajia kuona namba 2. baada ya namba 1 na vipengele vyake.

Naona unajibu mapigo baada ya mashambulizi ya maroketi toka kwa taikoni.
 
😂nasemaje ndugu,humkuti mwanaume thabiti anaongea vibaya kwa MTU yeyote yule....mwanaume unamjua tu kwa kauli zake
 
Mbona povu zito sana madam[emoji23]

No one is perfect ni kweli, lakini kuna point ya u-imperfection ukiifikia tunakuita mpumbavu

Ukiwa mpumbavu lazim uzalauliwe utake usitake hakuna sijui cha be a man au whatever
 
Nilitarajia kuona namba 2. baada ya namba 1 na vipengele vyake.

Naona unajibu mapigo baada ya mashambulizi ya maroketi toka kwa taikoni.
Mambo ya taikoni unayajua wewe mkuu,mi nakumbusha tu mwanaume kujitambua uanaume wake.Be a man...vichambo waachie kina Aisha mashauz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…