Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Hiyo f. Kama inaingiza Hela Kuna shida gan?? Emotions blind you
 
Ndo msidharau single mother wakati nanyi ni singlefather
Sio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
 
Nilitarajia kuona namba 2. baada ya namba 1 na vipengele vyake.

Naona unajibu mapigo baada ya mashambulizi ya maroketi toka kwa taikoni.
 
Humu zimejaa thread za kukashfu wanawake hadi naanza kuona kama wanaume ni kama kuna fuse zimelegea.

Yani watu wanatelekeza watoto mitaani hakuna anaesema. Wanabaka kutwa ila hakuna anaesema. Wanawakatili wanawake ila hawayaoni. Yaani wao ni kukashfu tu. Af ukifatilia historia ya huyo mwanaume ni kama dishi lilichezaga. So wote wa design hiyo sku hizi nawavua vyeo. Mwanaume na akili zake timamu na noti mfukoni hana mda wa kudiscuss mapungufu ya mwanamke ambae ana uwezo wa kukuzaa.
😂nasemaje ndugu,humkuti mwanaume thabiti anaongea vibaya kwa MTU yeyote yule....mwanaume unamjua tu kwa kauli zake
 
No one is perfect....kama wewe ni perfect kwann usiwe Mungu...usinglemother wake,shuruba zake wewe kinakutesa kipi....kazalishwa sawa,it's her business.... Hajaolewa,sawa it's out of your business.... Unamdharau kwa lipi
....kakufanya nn...kakupunguzia kipi? Umemkalia tako mwana wa mwenzio kakupunguzia nini kwa usiglemother wake....BE A MAN....YAAN KAKA ...KUWA MWANAUME!!!
Mbona povu zito sana madam[emoji23]

No one is perfect ni kweli, lakini kuna point ya u-imperfection ukiifikia tunakuita mpumbavu

Ukiwa mpumbavu lazim uzalauliwe utake usitake hakuna sijui cha be a man au whatever
 
Nilitarajia kuona namba 2. baada ya namba 1 na vipengele vyake.

Naona unajibu mapigo baada ya mashambulizi ya maroketi toka kwa taikoni.
Mambo ya taikoni unayajua wewe mkuu,mi nakumbusha tu mwanaume kujitambua uanaume wake.Be a man...vichambo waachie kina Aisha mashauz.
 
Back
Top Bottom