Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐dunia simama nishuke
Humu zimejaa thread za kukashfu wanawake hadi naanza kuona kama wanaume ni kama kuna fuse zimelegea.
Yani watu wanatelekeza watoto mitaani hakuna anaesema. Wanabaka kutwa ila hakuna anaesema. Wanawakatili wanawake ila hawayaoni. Yaani wao ni kukashfu tu. Af ukifatilia historia ya huyo mwanaume ni kama dishi lilichezaga. So wote wa design hiyo sku hizi nawavua vyeo. Mwanaume na akili zake timamu na noti mfukoni hana mda wa kudiscuss mapungufu ya mwanamke ambae ana uwezo wa kukuzaa.
๐๐๐habari ndo hiyo,jifunze kwa yanayokuhusu...kushughulika na yasiyokuongezea kula kwa MTU anayejiita mwanaume ni aibu๐๐Mbona povu zito sana madam[emoji23]
No one is perfect ni kweli, lakini kuna point ya u-imperfection ukiifikia tunakuita mpumbavu
Ukiwa mpumbavu lazim uzalauliwe utake usitake hakuna sijui cha be a man au whatever
Ngoja Dawa inaivaUmenikumbusha ule uzi kuna pipo ulizinyoosha sijazionaga tena [emoji1787] wanaume wa humu ni malaika ila wanawake ndio mashetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] nakuambia humu kuna maajabu na hayatokaa yaishe.[emoji23]shangaa wewe
Ona sasa.Kwa hiyo mi mvaa kijora?Mwanaume hategemei mawazo ya Mwingine mkuu
Eniwei... hizo sifa ni kwa wachache sanaa ambao hawana...๐balaa
Inapobidi huwa inatulazimu kufikia huko ingawa hapa najaribu kuzungumzia baadhi wa wanaume walivyo na hii inasababisha na kuchoshwa na huyo mwanamke au kutokua tayari kuyakubali majukumu, Unafahamu mwanamke akishamaliza kulea na akawa na uhakika wa kumhudumia mtoto, Huwa nirahisi kuweza kujichanganya na jamii na kuishi kama alivyokua akiishi hapo awali, Lkn ni ngumu sana kwa mwanaume kwa sababu anakua na majukumu mazito ya malezi kuanzia mama na mtoto, kwa wakwe na familia yake pia yani kwa wazazi wake hapo huwa ndio wengi wao hupagawa na hili jambo na kukimbia ujauzito!Sasa mwanaume hafanyi hivo....mwanaume hafanyi hivyo mkuu
Hakuna kucheka na kima, ukicheka na kima utavuna mabua, mwanamke sio kiumbe wa kumchekea na kumwendekeza la sivyo utajikuta ushapigwa dole la kati.1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee
NB:BE A MAN!
VizuriInapobidi huwa inatulazimu kufikia huko ingawa hapa najaribu kuzungumzia baadhi wa wanaume walivyo na hii inasababisha na kuchoshwa na huyo mwanamke au kutokua tayari kuyakubali majukumu, Unafahamu mwanamke akishamaliza kulea na akawa na uhakika wa kumhudumia mtoto, Huwa nirahisi kuweza kujichanganya na jamii na kuishi kama alivyokua akiishi hapo awali, Lkn ni ngumu sana kwa mwanaume kwa sababu anakua na majukumu mazito ya malezi kuanzia mama na mtoto, kwa wakwe na familia yake pia yani kwa wazazi wake hapo huwa ndio wengi wao hupagawa na hili jambo na kukimbia ujauzito!
Kabisa tulitegemea ataorodhesha sifa hizo lakini hali imekuwa tofautiTittle haiendan na content[emoji1]
๐ณmaajabu! Utajikuta!?au tayari mnapigwa dole la kati na wanaume.Ita majina yote lakini umekumbushwa kuwa mwanaume๐Hakuna kucheka na kima, ukicheka na kima utavuna mabua, mwanamke sio kiumbe wa kumchekea na kumwendekeza la sivyo utajikuta ushapigwa dole la kati.
Hahaa naamini haupo serious
Soma vyema utaelewa...kama ulivyokuwa unaweza kupangua mitego ya eseKabisa tulitegemea ataorodhesha sifa hizo lakini hali imekuwa tofauti
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app