Sifa za mwanaume


Umenikumbusha ule uzi kuna pipo ulizinyoosha sijazionaga tena [emoji1787] wanaume wa humu ni malaika ila wanawake ndio mashetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona povu zito sana madam[emoji23]

No one is perfect ni kweli, lakini kuna point ya u-imperfection ukiifikia tunakuita mpumbavu

Ukiwa mpumbavu lazim uzalauliwe utake usitake hakuna sijui cha be a man au whatever
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚habari ndo hiyo,jifunze kwa yanayokuhusu...kushughulika na yasiyokuongezea kula kwa MTU anayejiita mwanaume ni aibu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚balaa
Eniwei... hizo sifa ni kwa wachache sanaa ambao hawana...


ila zile za sijui awe Hb, saut nzito, awe na hela, ajue kubembeleza Nk... huwa mnatafuta wanaume watano tofauti๐Ÿ˜‚
 
Sasa mwanaume hafanyi hivo....mwanaume hafanyi hivyo mkuu
Inapobidi huwa inatulazimu kufikia huko ingawa hapa najaribu kuzungumzia baadhi wa wanaume walivyo na hii inasababisha na kuchoshwa na huyo mwanamke au kutokua tayari kuyakubali majukumu, Unafahamu mwanamke akishamaliza kulea na akawa na uhakika wa kumhudumia mtoto, Huwa nirahisi kuweza kujichanganya na jamii na kuishi kama alivyokua akiishi hapo awali, Lkn ni ngumu sana kwa mwanaume kwa sababu anakua na majukumu mazito ya malezi kuanzia mama na mtoto, kwa wakwe na familia yake pia yani kwa wazazi wake hapo huwa ndio wengi wao hupagawa na hili jambo na kukimbia ujauzito!
 
Eniwei... hizo sifa ni kwa wachache sanaa ambao hawana...


ila zile za sijui awe Hb, saut nzito, awe na hela, ajue kubembeleza Nk... huwa mnatafuta watano tofauti๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚hapo kweli tunachemka
 
Hakuna kucheka na kima, ukicheka na kima utavuna mabua, mwanamke sio kiumbe wa kumchekea na kumwendekeza la sivyo utajikuta ushapigwa dole la kati.
 
Vizuri
 
Yaani kwa hizo sifa mbona unavutia kamba kwako??
Za mwanzo hizo sawa ila hayo ya singo maza sijui kukataa mimba kuna sababu kibao za kufanya hivo.

Labda kwakua we ni singo maza ndo unasakama wakataao mimba na kudis singo mazas.

Yote kwa yote jf kila mtu ana sifa za mwanaume, matendo anayotakiwa kufanya mwanaume, asiyotakiwa kufanya, avaaje nk.
 
Hakuna kucheka na kima, ukicheka na kima utavuna mabua, mwanamke sio kiumbe wa kumchekea na kumwendekeza la sivyo utajikuta ushapigwa dole la kati.
๐Ÿ˜ณmaajabu! Utajikuta!?au tayari mnapigwa dole la kati na wanaume.Ita majina yote lakini umekumbushwa kuwa mwanaume๐Ÿ‘Š
 
T[mention]To yeye [/mention] nimekuelewa sana hila kususa siwezi kuacha ata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ