Real man hana sifa, real man anatembeza makora kwa kila feminist ili heshima ibaki kwa masculinities kila siku na kila sehemu, sio habari za mfumo dume Ila ndio mwanaume inabidi awe hivyo mwanamke akizingua mabanzi mabanzi huku anamkandamiza na maneno "si nilikwambia usifanye hivi kwanini umerudi tena kufanya hivi?" Mabanzi mabanzi "kwanini umerudia kuchelewa kurudi kabla yangu si nakwambia mimi ndio inabidi niwe wa mwisho kuingia ndani ya nyumba hii?" Mabanzi mabanzi, "kwanini mtoto analia wewe hautaki kumnyonyesha kwanini humpi chakula chake huyu mtoto?" Mabanzi mabanzi,
Huyo ndio mwanaume na mwanaume lazima aongee ili aeleweke mwanaume hakai kimya kimya kinyonge kinyonge km boyanazi fulani hivi hakuna mwanaume wa hivyo, mwanaume hua anaanza kwanza alafu mwanamke anafuata nyuma hio ni tangu na tangu ndio ipo hivyo, achana na ile ya ladies first ya kizungu, uliona wanawake wakitangulizwa mbele wakiwa vitani?
Msituni kuwinda wanyama wakali km Simba na Chui na Nyati hua wanaume ndio wanaenda kupambana sio wanawake (waulize wamasai), kunapotokea vita wanaoenda front line na kufa kwa wingi ni wanaume sio wanawake (fuatilia vita ya Ukraine wanaokufa wengi ni akina nani), ushaelewa wewe kiazi?
Na kambini jeshini wanapoimba nyimbo za kiume hawakaikai kigaigai km maandazi ya porini tu lazima waongee tena kwa ukakamavu na kubana matako na kutiana makonzi, makofi na mabanzi, huyo ndio mwanaume lazima uwe mkakamavu na jasiri sio unalegealegea tu km mlenda pori
Panapotokea nyoka amaevamia sehemu anaepelekwa front line kupambana na huyo nyoka ni mwanaume, na anapambana kishupavu na kishujaa mpaka nyoka anapotezwa kabisa, Ila mwanamke hubaki nyuma kusubiri nini kinafuata
Emu acha kumpa mwanaume sifa zisizomhusu, kwanza itakua haumjui mwanaume ni nani