Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Mpenzi wangu ana amani sana na mimi huwezi amini. Hapa JF naweza onekana mkorofi lkn huko nje hata sipo hivi [emoji23] humu usiamini watu kabisa.

Nko poa sijui wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ni kama kioo hujidhihirisha popote vile ulivyo pindi tu ukitazamapo?

Namshukuru mungu, It’s another day! Uwe na amani katika siku hii!
 
Uanaume sio kuingia mkenge tu mnatulainisha kwa kukimbilia uanaume ili mfanye mambo yenu Yapite!.. mfano mwasema mwanaume hatakiwi kununa so ufanye upumbavu nisinune ili unione kenge! Sasa mimi kiberenge nakuambia ukizingua nanuna ikibidi na mitama unakula ili kukupa adabu ambayo umekosa..

Usiseme mwanaume hutakiwi kususa sema Asuse katika namna ipi.. Upike msosi kwenye dagaa hadi kuna konokono nisisuse!!!! Nasusa na ikibidi nakudunda.
[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti na kinga sio tamu [emoji1787] na wewe kwan nini ukubali kwani huna akili? Mkikulana kavu jaman mjiandae kwa lolote sio mnakuja hapa et ooh nilitegeshewa kwan wakati unachomeka kavu ulitegemea nini? Acheni hizo bwana badae mnakuja tukana singo mama wakati nyie ndio mabingwa wa kukimbia mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachie mambo yetu usituseme sana sasa
 
😂😂😂🚶🚶
Hahahaaa! Umefurahi mwenyewe 🤣🤣🤣 kulea ni kipaji yani tena uache kazi, Ufanye kazi...Mara nyingi nawaonea huruma mabinti wote wanaopambana wenyewe na watoto zao it’s paining to be honestly, Hata dada yangu(Young’sis) alipokubwa na janga kama hili nilimsihii sana kwa kumwamwini mwanaume alienae kupitiliza mwisho wa siku akamdump na ujauzito juu ingawa nilimpambania akapata haki zake kimsingi kuhusu mtoto kupata malezi ya pande zote mbili na baba yake kuwajibika kumsomesha mtoto hadi atakapofikia hatua ya kujitambua lkn bado alijiona amekosa sana na anajutia hadi hivi leo.

So! Mjihadhari si wanaume wote tumeumbwa na utu mioyoni mwetu, Wengine ni paranoid guys na ukiwaona wako very innocently try to be aware with guy like them!!
 
Vichambo havitakuongezea mshahara mkuu,zaidi vinakuondolea thamani ya uanaume.Jitahidi kuacha maana kiukweli ndivyo ulivyo
Sina mshahara, wala hivyo sio vichambo ndgu labda kama una tafsiri yako binafsi ya vichambo.

Bali huo ndio ukweli, singo maza mnajitetea kwa kila namna lakini madhaifu yenu yanafanana mno, na mbaya zaidi hamjifunzi kwa makosa ya wenzenu. Ndio maana wadau kutwa kuanzisha nyuzi juu yenu.
 
Back
Top Bottom