Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Siyo kwako. Si nilshakuambia we hata bure ckutaki. Sijawahi kumla mbilikimo na haitokaa itokee.
[emoji38][emoji38][emoji38] ilikuaje mpaka ukawa kifutu?
Muulize aliyekuzaa,ilikuwaje alikubali shahawa za yule zimwingie mpaka akakupata usiyeridhiki wewe?
 
Muulize aliyekuzaa,ilikuwaje alikubali shahawa za yule zimwingie mpaka akakupata usiyeridhiki wewe?
Mimi siyo ridhiki kwako tu... ila kwa wengine miye ni moto wa gas ya Hydrogen ile conc.! Pole bhana. Hatukukutuma sisi umpanulie yule ninayemuhisi mchicha mwiba akuzalishe akuachie mtoto akukimbie.[emoji38][emoji38][emoji38]

Ni tamaa zako na ufukara wako[emoji38][emoji38][emoji38] by the way no one forced u to be a teacher... huenda ndo maana ukawa singo maza. Mshahara laki 2[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umerogwa wewe
 
Nimechoka kudharaulika wanawake kana kwamba tunawaomba hela ya mboga...na ninashukuru majibu yenu yanasaidia kujua tabia zenu pia.Sisomi pekeyangu .......Wanichore tu lakini saivi mie nitaenda hatua kwa hatua na MTU anayelenga kunidhalilisha ndani ya thread yangu.Thread haijakupendeza we kausha ili usionekane una mambo mengine zaidi ya uanaume.Wanawake humu wamekuwa na utu kuliko wanaume.Mi washanivuruga sitotulia katu from now on
Anhaa kumbe ni ni hilo mkuu.
Basi ungetumia lugha ya kuelimisha.

Uanaume haundolewi kwa hizo tabia ulizotaja though baadhi ya tabia ni kweli zinakwaza.
Umeanza kwa mashambulizi ukajibiwa kwa mashambulizi vilevile..

Kwa jinsi wanaume tulivyo, ungeweka uzi kiustaarabu, hakika ungepata comments murua na roho yako ingesuuzika.
Hujafanya uchaguzi sahihi wa maneno ndio maana badala ya kua somo umegeuka uwanja wa vijembe,matusi na dharau.
 
Back
Top Bottom