Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Sisi mabahili tunakubali kuwa siyo wanaume kamili na tunaupenda ubahili wetu na hela zetu. [emoji38]

Kikubwa tukipata genye tunapeleka moto tu basi. Hilo la kutokua wanaume kamili hatuna tatizo nalo.
Wewe tatizo haulewekagi upo upande upi ndio maana haina tatizo na kutokuwa mwanaume kamili.
 
Ubahili ni sifa ya kuwa tajiri[emoji1787]
We Eroni acha uongo!😂😂.....Ukiwa bahili hupati pesa pata MTU wa kumuhonga pesa uone utavyopata nguvu ya kutafuta pesa
 
Back
Top Bottom