Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

asante mkuu, sikuweza kufikiri kama kuna anaepajua ulipopataja, ukovzur mkuu, napaelewa vizuri
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna mengi yamesemwa ya kweli na mengine ya uongo.
Kwa hiyo mwanamke yoyote utakaye mtongoza mara moja akakubali ni mrangi. KARIBU sana Kondoa ni wilaya nzuri sana. Ukifika niambie nije nikusalimie
πŸ™‚ vijana wana maneno.. Eti maji Mara moja.

Nitakaribi mie niende huko "Pahe* nikaone mababu walikuwa wanafanya nn na muda wao.
 
Kuna mengi yamesemwa ya kweli na mengine ya uongo.
Kwa hiyo mwanamke yoyote utakaye mtongoza mara moja akakubali ni mrangi. KARIBU sana Kondoa ni wilaya nzuri sana. Ukifika niambie nije nikusalimie
Kweli mniite na Mimi, Tena week end kama hii river side itapendeza
 
Moja ulilosahau, hasa kwa warangi, wafupi weupe ni wepesi mno kukuvulia ile nguo ya ndani! na wanayajua mambo kwelikweli!
 
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
 
I see!!!!
 
Hivi Kondoa ni Mkoa au wilaya?.
 
Mwanangu. Hilo la kufungwa kutopata mke mi ninalo mpaka amenifanyia mama watoto wangu ni mzaramo mixer mruguru VP jamaa yako aliponea wapi?
 
Kondoa ni Mkoa siku hizi Mkuu?

Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…