Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Nilienda kule maeneo ya Pahi&saralee kuna watoto wazuri mno.. Mwaka jana hiyo.
 
mzee baba, nami nataka kwenda huko[emoji123]
 
nauli sh? kutoka dodoma mjini hadi hapo kondoa center [emoji16] [emoji23]
 
Moja kati ya sehemu unazotakiwa kufika hapa duniani ni Kondoa.Wanawake weupe, wazuri na hali ya hewa yenye kuvutia utavipata kondoa.Kuna sehemu za starehe kibao tu na zilizotulia;kdo n mji uliotulia na wengi wao wana hof ya mungu.
aiseee najipanga nienda huko
 
Kuna mengi yamesemwa ya kweli na mengine ya uongo.
Kwa hiyo mwanamke yoyote utakaye mtongoza mara moja akakubali ni mrangi. KARIBU sana Kondoa ni wilaya nzuri sana. Ukifika niambie nije nikusalimie
nami najiandaa maana pana sifa sikivu sana[emoji16]
 
Agenda ya miaka saba ilianzia huko kupitia mwakilishi wao
 
Mwanamke wa kirangi ni rahisi kumpata kuliko mkwere na mzaramo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Binafsi ukinipa mrangi na nyoka......naua mrangi naacha nyoka aendelee kuishi.
[emoji123] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…