Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134


Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha."

"Mimi mdogo wangu, nitaenda vyama vyote Tanzania lakini sio CCM. Siwezi kwenda CCM kwa sababu I don't believe in CCM—yaani siamini katika CCM. Lakini pia, I know CCM—yaani nawajua. Ni watu ambao hawana huruma na mwanadamu, yaani na wananchi. Wako selfish, yaani ni watu wanaojitazama wao, hawatasami uhalisia wa wananchi huku chini.

Lakini haina jipya pia. Haina jipya, yaani mwaka jana kama uchaguzi wa 2015 kama waliimba barabara, 2020 wataimba barabara, 2030 wataimba barabara, 2050 wataimba barabara—miaka 65! Yaani nchi yenye kila kitu, miaka 65 tangu tumeacha kutawaliwa, ajenda ni barabara, maji, barabara, maji, umeme... vituo vya afya. Basi!

Yaani miaka 65 tangu mkoloni ameondoka. Ndio maana mimi muda mwingine naonaga bora tungeendelea kutawaliwa tu na wazungu. Tungekuwa mbali sana. Lakini hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana."
 
Kwa maneno na namna alivyojitanabaisha, ni kama mpinzani KWELI

Ngoja siku ziende, mara unasikia ni pandikizi la maccm na lipo hapo kwa kujikosha tu kwa wananchi

Mpinzani wa KWELI kabisa asiye na ila, ni Tundu Lissu tu na wachaache sana, hao ndio mashujaa na wapo tayari kupoteza Kila kitu si kwa ajiri ya watoto wao, la, hata kwa ajili ya wana CCM wote na mambumbu ya CCM
 
ofcourse communists wamedanganya sana waafrika na black people wote, angalia jiulize kwa nini afrikans wote leo hii wanangangania kwenda kuishi south afrika kama capitalism is so bad? kwa nini hawaendi kuishi barbaria somalia, sudani au maurtania? wanatoka as far as nigeria, ghana, barbaria somalia kote huko wanapita na kuvuka nchi karibia 20 ambazo ni 100% african na muslisms lkn wanataka tu kwenda kuishi south afrika kama swala ni kusini tu kwa nini wasiende msumbiji?

kwanza Christians waliwekeza zaidi kwetu kuliko walivyochukuwa, walijenga karibia kila kitu tunachotumia leo hii kwa gharama zao na wangebakia kusingekuwa na shida hii akina low iq islamist shehe mwaipopo aidha angekuwa ameshasomea profession na yuko kazini akichangia kujenga nchi au kama kichwa ngumu kama alivyo leo hii angekuwa jela, lkn sasa hivi kazi yake ni kusilimisha watu na anaishi maisha comfortable kabisa jiulize anachangia vipi uchumi wa nchi na nani anamlipa ?

ukiangalia tanzagiza nguvu kazi zinapotea buure vijana wenye nguvu ambao wangeweza kutumika kujenga nchi wanaendesha bodaboda hivyo kijana kuanzia 18 miaka 30 huko anaendesha boda boda hakuna mchango wowote ule kwenye ujenzi wa taifa, hawa ni vijana ambao wangeweza kujenga madaraja, barabara, reli, na economic activities nyingine lkn wote wanaedesha boda boda au islamists panya road ...
 
Dada Sigrada,hapa kati umesikika sana, kuanzia "bungeni",hadi mitandaoni...ungetulia kidogo upate muda wa kutafakari na uiche hadhira itafakari hizi nondo zako..so far unaenda vizuri
 

Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha."

"Mimi mdogo wangu, nitaenda vyama vyote Tanzania lakini sio CCM. Siwezi kwenda CCM kwa sababu I don't believe in CCM—yaani siamini katika CCM. Lakini pia, I know CCM—yaani nawajua. Ni watu ambao hawana huruma na mwanadamu, yaani na wananchi. Wako selfish, yaani ni watu wanaojitazama wao, hawatasami uhalisia wa wananchi huku chini.

Lakini haina jipya pia. Haina jipya, yaani mwaka jana kama uchaguzi wa 2015 kama waliimba barabara, 2020 wataimba barabara, 2030 wataimba barabara, 2050 wataimba barabara—miaka 65! Yaani nchi yenye kila kitu, miaka 65 tangu tumeacha kutawaliwa, ajenda ni barabara, maji, barabara, maji, umeme... vituo vya afya. Basi!

Yaani miaka 65 tangu mkoloni ameondoka. Ndio maana mimi muda mwingine naonaga bora tungeendelea kutawaliwa tu na wazungu. Tungekuwa mbali sana. Lakini hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana."
 
Better colonialism than post-colonialism regime, atleast the country was moving ahead..

Angekuwepo mkoloni akajigeuza kuwa Raia, na yeye akapa-term Tanganyika kama kwao...
Leo tungekuwa na Ethinic group ambao sio Waingereza 100% na sio Watanganyika 100%
Leo with 70 years after colonialism departure, tusingekuwa tunaangaika na maji, dawati, umeme, Vyoo nk.

Angalieni mfano wa hata zile overseas departments za kiingereza au kifaransa wako mbali kuliko sisi.
Reunions islands, Mauritius, Mayotte nk.

Hawa walipewa uhuru, lakini wali hiari wao wenyewe kuacha sovereignty iendelee kuwa chini ya wakoloni wao
 
Back
Top Bottom