Sigrada: Vita uchaguzi wa Lissu na Mbowe ulitengenezwa lengo CHADEMA ipasuke

Sigrada: Vita uchaguzi wa Lissu na Mbowe ulitengenezwa lengo CHADEMA ipasuke

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo.

Amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026 na Nijuze, akijibu swali kuhusu yanayoendelea ndani ya CHAUMMA ambapo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu kuondolewa kwenye nyadhifa hiyo kwa tuhuma za kujichukulia mamlaka ya Mwenyekiti wa chama hicho.


​
 
Nyie kila kitu ni mboga mboga😃😃wanafanya matusi yote utupu wote mliokuwa mnafunuana ni mbogamboga walipanga👎👎👎
 
Back
Top Bottom