Jamani najikuta nawaza sana hivi nitatoa lini? Mbona muda unazidi kusonga? Shauku ya kuoa inakuja mara inapotea, ukimpata unayempenda changamoto inakuwa kiuchumi unakuwa hauko vizuri, ukiwa vizuri kiuchumi wakumuona humuoni
Jamani mpaka inafikia hatua nawaza nini kinanisibu au kuna mkono wa mtu katika hili rika langu, kwenye mtaa ninakoishi karibu wote washaoa mpaka na vijana ambao wamezaliwa nawaona
Imenishushia heshima katika jamii nadharaulika na kila mtu mpaka home. Ushauri wenu tafadhali, nahisi imeniaffect kisaikolojia.