Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Heshima nikitu cha bure ambachoo hununui kwa mtu unajua kwanini wanaume wenye hela hawadumu nawake zao asilimia kubwa ni wale wanaotafuta pamoja ndio unakuta wanadumu.Mzee wangu alishanishauri kwanza niwe vizur financially ndio nioe, usispeculate shit
Kwa sababu ya haya madharau uliyonayo huwezi ongea unaelekea kuwatusi watu tena hao unawatusi ndio mama zako au wanawake ambao unaexpect kuwa oa sio lazima mimi .
Ila hao ambao walikutamani either huko mitaani au hata humu jf ila kwa madharau yako tu na unavyo watreat like shit ndio unaendelea kuwa single .
Nakama umebahatika ndoa basi huyo anakujulia kwa malipizo yake kwako naunatulia either anakutusi ama anakufanyia jambo unaona hukuwa right.
Why wanawake wenye hadhi wanaenda kuolewa kwenye double au hata single rooms choo outside nikwasababu kubwa moja tu wanapata furaha , upendo , kudekezwa , wanaume wasio nazo wanafuatwa hadi nawatu wenye magari yao wakiombwa ndoa .
Nyie baba madharau mnachunwa hadi damu , maji mnaachwa mkijisemea wenyewe kama vichaa kila siku you have new relationships .
Hudumu why wewe niumiza kichwa ndugu.
Hela sio kila kitu usipojua kuishi hata hizo hela hupati utaishia kushangaa tu miaka inaenda kisa huna hulka njema na watu .
Ni hilo tu..
Watu wote wangesubiri kujiweza kimaisha pengine tusingepata wakuu wa nchi, wakuu wa wilaya au wa mkoa .
Maisha nikuingia ndani yake nakupambana.