babukatunz
Member
- Jan 11, 2016
- 38
- 45
Kama Mimi kila nikaa natamani kununua usafiri,lakini hamu inakuja na kupotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh ilishatabiriwa kuwa mtajikuta mnamfuata mwanaume mmoja wanawake saba mkiomba awaoe...so fursa ndio hizi jiwahi mapemaUmeonaenhee
Na ata ukitaka kuwagegeda wanawake wanne kwa wakati mmoja watakubali tuuBillgate hana mke lakini heshima kwake dunia nzima, kua na hela uone kama kuna mtu atakudharau hata usipooa maisha yako yote
Kwanini unajali sana kuhusu watu wanafikiria nini kuhusu wewe? je wana mchango na wanakusaidia chochote kwenye maisha yako?
Tambua maisha yako ni yako peke yako na ishi unavyoweza na sio kuishi ili kufurahisha wengine sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu.
Na nakukumbusha kitu kimoja muhimu: kwamba unaishi mara moja tu.
Baba ako hakuoa akiwa napesa .
Nasio lazima uoe hapo kitaa kuna wanawake waelewa na wavumilivu
Yeah yeah mkuu, marc spector mwenyewe mtu hatari.Moon [emoji287] Knight
Yeah yeah mkuu, marc spector mwenyewe mtu hatari.
Yeah mkuu marvel kwa hapa wamepatia, ila hayo maumivu ya kusubiri mpaka season iwe complete yamenishinda kabisa bora maumivu ya kusubiri kila wiki.Hiyo kitu ni moto sana, nimeiacha kwanza nangoja zijae iwe complete season ili ni binge-watch
Nakazia: MARA MOJA TUUU.Kwanini unajali sana kuhusu watu wanafikiria nini kuhusu wewe? je wana mchango na wanakusaidia chochote kwenye maisha yako?
Tambua maisha yako ni yako peke yako na ishi unavyoweza na sio kuishi ili kufurahisha wengine sababu mwisho wa siku wote mtakufa tu.
Na nakukumbusha kitu kimoja muhimu: kwamba unaishi mara moja tu.
Yeah mkuu marvel kwa hapa wamepatia, ila hayo maumivu ya kusubiri mpaka season iwe complete yamenishinda kabisa bora maumivu ya kusubiri kila wiki.
Ndoa ni Taasisi.Jamani najikuta nawaza sana hivi nitatoa lini? Mbona mda unazidi kusonga? Shauku ya kuoa unakuja mara inapotea, ukimpata unaempenda changamoto inakuwa kiuchumi unakuwa hauko vizuri, ukiwa vizuri kiuchumi wakimuona humuoni jamani mpaka inafikia hatua nawaza nini kinanisibu au kuna mkono wa mtu katika hili rika langu kwenye mtaa ninakoishi karibu wote washaoa mpaka na vijana ambao wamezaliwa nawaona imenishushia heshima katika jamii nadharaulika na kila mtu mpaka home ushauri wenu tafadhali nahisi imeniaffect kisaikolojia.
Kwani wewe ulishawahi juta?Usioe kisa watu wanakuangalia utakuja juta